Figure yangu: Inaninyima Usingizi !

Mi sikuelewi ! Sasa miturbo yote ikijikondesha sisi wenye mtandao wa miturbo tukapone wapi ?
 
Huyo bf wako yuko ok mwenyewe, isijekawa yeye mwenyewe manyama ya uzembe kibao!
Fanya tizi, kula vyakula vya asili, veg na matunda kwa wingi. Kwa afya yako lakini si kwa kumfurahisha mtu.
 
Sister fanya jitihada uwe na mwili wa kawaida, kwani unene ni kero si tu kwa huyo uliyenaye hata wengine. Fikiria unavyohema kila unapopanda kwenye mlima mdogo tu au hata kwenye ngazi tu.
 
Wapendwa

Ninaomba msaada, figure yangu inaninyima usingizi. BF wangu anaelekea kunibwaga, ati anataka kitu portable unajua tena wenzetu..... Nimeenda Gym lakini bado tu!

Ninaomba ushauri......niko very serious !

Kwani mwanzo ulikuwaje?
 
Pole dada kwa mtihani,
nadhani ungeenda gym ukapate ushauri muafaka, hayo yalimkuta hata jirani yangu.
 
kwa nini ujitese?mimi napenda wa dizaini yako,tuwasiliane
 
dada yangu huo unene uliupata wakati uko nae au kabla haujawa nae ulikuwa mnene? hajakupenda huyo. mwambie awafwate wembamba c wako kibao mjini asikupotezee muda , utampata mwingine cz kuna watu wanapenda wanene.
 
Dada huyo bf wako hakupendi wala nn haina haja ya kujitesa kwa ajil ya kumfurahsha mtu. Wewe huenda ndo umeumbwa hivyo unajua kuna wengne hata ufanye mazoezi gani mwisho wa siku utakua hivyohivyo mi nakushauri tafuta wanaopenda watu kama ww. Kama vp ni pm.
 
pole dada na matatizo hapy pia nakukaribisha kwangu nahitaji mnene !!!!!!!!!
 
nikiripoti habari hiii mi ni afredi masako itvvvvvvvv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…