jukwaa hili inasemekana ni kwa watu wenye hoja,uweledi na mitazamo chanya katika jamii.lakini kwa siku za hivi karibuni jukwaa limepungukiwa hizo sifa kwa kiwango cha kutisha.naomba wana jamvi wenzangu turudi kwenye malengo makuu ya kuanzishwa kwa jukwaa hili.naomba ushirikiano wenu na nawatakia kila lilojema.leo