Fikiri Madinda

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
33,643
Reaction score
36,090
hivi wana JF, nani anajuwa Fikiri Madinda yuko wapi na ana hali gani kwa sasa? Na anafanya shughuri gani kwa sasa? Na wakati anapaishwa na bendi za muziki ilikuwaje? Dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
Yupo tunduma sijui anatafuta nini. Sijui anafanya maamuzi magumu ya kumtupia kuku punje za maindi
 
Jamaa ni Dereva wa Wizara ya kilimo ni mtu wa kawaida tu tangu zaman sema shobo za wasanii ndo zikampaisha
 
hivi wana JF, nani anajuwa Fikiri Madinda yuko wapi na ana hali gani kwa sasa? Na anafanya shughuri gani kwa sasa? Na wakati anapaishwa na bendi za muziki ilikuwaje? Dunia hadaa ulimwengu shujaa

una maanisha kiafya au kifedha? washirikina utawajua tuu!
 
Ni dereva tangu zamani pale wizara ya kilimo.
 
du jamaa alijipatia ujiko lakini aisee...utadhani kapedeshee fulani mjini aisee....
 
Yah Mtazamo upo sahihi, jamaa enzi zile alikuwa dereva wizara ya kilimo, sasa hivi sijui km bd yupo huko
 
fikiri madindaaaaaaa! madinda trans........ngoma hiyo..,hapo banza stone kashanywesha bia mbili na msafiri diof kashapata buku 10 ya ngada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…