felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA.
Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32.
Fikiria nchi yetu kwa timu hizi kubwa za Simba SC na Yanga SC zingepata bahati ya kushiriki ingetuweka kwenye ramani gani kimpira, kiuchumi katika vilabu vyetu?
Kushiriki tu timu inapata hela ya kitanzania zaidi y Bilioni 145 na milioni 600. Je kwa pesa hii timu zetu zingetumia fedha hizo ipasavyo kama kuweka sasa hai mipango ya kuanza ujenzi wa viwanja vyao na kuacha kurandaranda kwenye viwanja vingine?
Soma Pia: Wydad ingeiachia Simba fursa ya kucheza Club World Cup
Je wangekua na miundo mbinu bora zaidi kama ofisi n.k?