Fikiria: Nini hatma ya vilivyoanzishwa au kufanywa na watu hawa endapo watakufa ghafla?

Fikiria: Nini hatma ya vilivyoanzishwa au kufanywa na watu hawa endapo watakufa ghafla?

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,015
Reaction score
2,680
Wakuu,

Najaribu kutafakari kwa kina, hivi ni nini kinaweza kutokea endapo hawa watafariki ghafla? Japo watu hawapendi kuongelea kifo, lakini kipo kwa ajili yetu wanadamu na hakikwepeki.

Wewe unafikiri nini kitatokea endapo hawa watapoteza maisha yao; makanisa, makampuni, vyama vya siasa n,k walivyovianzisha vitakuwaje?

1. 'Bishop' Zachary Kakobe

2. 'Mchungaji' Getrude Rwakatare

3. 'Mtume na Nabii' Josephat Mwingira wa EFATHA

4. 'Dr.' Reginald A. Mengi

5. 'Prophet' TB Joshua

6. Robert Gabriel Mugabe (Zimbabwe)

Wengine mnaweza kuongezea.
 
Watu au baadhi ya watu huwa na umuhimu mkubwa sana katika uhai wao hapa duniani, hata kufikia hatua ya kudhania kuwa watakapokufa mambo hayataenda (????) . Nikwambie kitu, maisha huendelea, pengo huzibika na watu husahau. Fikiria mtu yeyote mashuhuri aliyetokea duniani na kisha akafa, ni nini kilichosimama?? Angalia katika fani zote, taaluma (Newton, Einstein, Maprofesa wetu Tanzania etc), michezo & sanaa, siasa na uongozi (Nyerere, Lincoln, Osama etc) Matajiri wakubwa na fani nyinginezo. Walikufa wakaacha legacy, maisha yanaendelea bila wao. Ndani ya familia yako wewe una umuhimu mkubwa ila ipo siku utaondoka, nyakati zitapita utasahaulika na maisha yataendelea, ndo dunia yetu hii!
 
Kuna nuraj. naomba uangalie. n00b
anamaana ya kuwa hao watu mfano

Mchungaji.1: Kakobe yeye

2:Rwakatare

3:Mzee Mugabe

Kwa maana hawa watu. hawajaandaa watu wao na kuweza kuwapa majukumu ambayo wao wenyewe wanayatekeleza.
Kiasi kwamba ikitokea wameondoka kidogo wanaobaki hawana mamlaka kwa jambo aidha ya kiutendaji au kiushauri hakuna delegation ,kwa kila kitu .
Mfano baba au Mama akiwa hata kabla hajachoka kiumri&akili& mawazo anaangalia ktk familia ni nani amuachie majukumu ya kuendesha familia .
Angalia mfano wa Hindi. ÷ waarabu kwenye familia wanawaandaa watoto wao mapema incase wazazi wenyewe wakitangulia mbele ya haki familia huwa haiyumbi/haziyumbi.
Ni marachache sana kuona familia inayumba kiuchimu.Ila kwa uelewa wangu ni kuwa alitaka kujua kuhusu. mamlaka yao au kuna watu ambao wao kama viongozi. wamewaandaa hali yakuwa bado wazima wa afya njema ?
 
Last edited by a moderator:
Mawazo mgando unauhakika gani kuwa hawajawaandaa watu!? Baba wa taifa aliiachaje tz na haikuyumba sembuse mugabe? Ngoja are mtu halafu walobaki tuone kama watashindwa,
 
Unawafahamu wasaidizi wa TB joshua wewe? Pia wa lwakatare?
 
Watakufa na vitu vyao, watakua hawajaacha legacy yeyote, watakua wametoweka Kama moshi wa kifuu na masinagogi yao.
 
Wakuu,

Najaribu kutafakari kwa kina, hivi ni nini kinaweza kutokea endapo hawa watafariki ghafla? Japo watu hawapendi kuongelea kifo, lakini kipo kwa ajili yetu wanadamu na hakikwepeki.

Wewe unafikiri nini kitatokea endapo hawa watapoteza maisha yao; makanisa, makampuni, vyama vya siasa n,k walivyovianzisha vitakuwaje?

1. 'Bishop' Zachary Kakobe

2. 'Mchungaji' Getrude Rwakatare

3. 'Mtume na Nabii' Josephat Mwingira wa EFATHA

4. 'Dr.' Reginald A. Mengi

5. 'Prophet' TB Joshua

6. Robert Gabriel Mugabe (Zimbabwe)

Wengine mnaweza kuongezea.

nini kitatokea kwa maana ipi?
 
Kitakachotokea baada ya wao kufa ni kuzikwa au unadhani watagandishwa?

Hilo jibu ulitakiwa umpe muuliza swali, mimi nimemuuliza anamaanisha nini ili nijue tunajadili katika mustakabali upi!
 
Wakuu,

Najaribu kutafakari kwa kina, hivi ni nini kinaweza kutokea endapo hawa watafariki ghafla? Japo watu hawapendi kuongelea kifo, lakini kipo kwa ajili yetu wanadamu na hakikwepeki.

Wewe unafikiri nini kitatokea endapo hawa watapoteza maisha yao; makanisa, makampuni, vyama vya siasa n,k walivyovianzisha vitakuwaje?

1. 'Bishop' Zachary Kakobe

2. 'Mchungaji' Getrude Rwakatare

3. 'Mtume na Nabii' Josephat Mwingira wa EFATHA

4. 'Dr.' Reginald A. Mengi

5. 'Prophet' TB Joshua

6. Robert Gabriel Mugabe (Zimbabwe)

Wengine mnaweza kuongezea.

:frusty: yote ni ubatili tupu ......hakuna jipya chini ya jua.
 
nini kitatokea kwa maana ipi?

swali liko general ukitumia kanuni za kimantiki(logic) huoni mtoa mada anataka nini......in general wakifa labda watu wagawane akaunti zao .....sielewi.:A S-confused1:
 
Back
Top Bottom