Wakuu,
Najaribu kutafakari kwa kina, hivi ni nini kinaweza kutokea endapo hawa watafariki ghafla? Japo watu hawapendi kuongelea kifo, lakini kipo kwa ajili yetu wanadamu na hakikwepeki.
Wewe unafikiri nini kitatokea endapo hawa watapoteza maisha yao; makanisa, makampuni, vyama vya siasa n,k walivyovianzisha vitakuwaje?
1. 'Bishop' Zachary Kakobe
2. 'Mchungaji' Getrude Rwakatare
3. 'Mtume na Nabii' Josephat Mwingira wa EFATHA
4. 'Dr.' Reginald A. Mengi
5. 'Prophet' TB Joshua
6. Robert Gabriel Mugabe (Zimbabwe)
Wengine mnaweza kuongezea.
nini kitatokea kwa maana ipi?
Kitakachotokea baada ya wao kufa ni kuzikwa au unadhani watagandishwa?