Fikiria una toto linaingia kwenye mtihani wa hesabu za kutoa na kujumlisha na calculater halafu linafeli mtihani

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hesabu za kutoa na kujumlisha ni ziliwafanya familia nzima kutembea na calculater lakini matokeo yake wamefeli mtihani kimataifa.

Mwalimu wao anasema eti wanafunzi wake ni vilaza kwa vile hawakutani na wanafunzi wenye ushindani hapa nchini.

Hata hivyo sisi tulishawaonya mapema kuwa wametengenezewa mazingira ya kufaulishwa hapa ndani kwa kuiba maswali ya mtihani na kusahihishwa kwa upendeleo ili wajikute ni wakubwa.
Matokeo yake wanaumbuka kimataifa.

Kwanza walikuwa kundi la wanafunzi dhaifu sana ambalo angelikuwa mnyama angeomgoza vizuri kundi hilo.

Sasa wengi wanamlalamikia mwalimu saidi! Saidi mbona wewo!
 
Tatizo 'age go' ......!

Wangekuwa ni timu ya Wanawake tungesema Wamejaza 'Mishangazi' ...
 
Hesabu za kutoa na kujumlisha ni ziliwafanya familia nzima kutembea na calculater lakini matokeo yake wamefeli mtihani kimataifa.

Mwalimu wao anasema eti wanafunzi wake ni vilaza kwa vile hawakutani na wanafunzi wenye ushindani hapa nchini.

Hata hivyo sisi tulishawaonya mapema kuwa wametengenezewa mazingira ya kufaulishwa hapa ndani kwa kuiba maswali ya mtihani na kusahihishwa kwa upendeleo ili wajikute ni wakubwa.
Matokeo yake wanaumbuka kimataifa.

Kwanza walikuwa kundi la wanafunzi dhaifu sana ambalo angelikuwa mnyama angeomgoza vizuri kundi hilo.

Sasa wengi wanamlalamikia mwalimu saidi! Saidi mbona wewo!
Na wewe umeona umeongea kabisa pumba hizo,,
 
Hapa mbona kama haziongelewi calculator na wanafunzi
 
Hesabu za kutoa na kujumlisha ni ziliwafanya familia nzima kutembea na calculater lakini matokeo yake wamefeli mtihani kimataifa.

Mwalimu wao anasema eti wanafunzi wake ni vilaza kwa vile hawakutani na wanafunzi wenye ushindani hapa nchini.

Hata hivyo sisi tulishawaonya mapema kuwa wametengenezewa mazingira ya kufaulishwa hapa ndani kwa kuiba maswali ya mtihani na kusahihishwa kwa upendeleo ili wajikute ni wakubwa.
Matokeo yake wanaumbuka kimataifa.

Kwanza walikuwa kundi la wanafunzi dhaifu sana ambalo angelikuwa mnyama angeomgoza vizuri kundi hilo.

Sasa wengi wanamlalamikia mwalimu saidi! Saidi mbona wewo!
Kocha anawapenda Dube na Msonda lakini zama zao zimeshapita
 
Unalizaba makwenzi kwanza,alafu unamwita mamake amtafute baba mwingine akamgawe.
Siwezi kuishi na toto zembe namna iyo.
 
Back
Top Bottom