Na wewe umeona umeongea kabisa pumba hizo,,Hesabu za kutoa na kujumlisha ni ziliwafanya familia nzima kutembea na calculater lakini matokeo yake wamefeli mtihani kimataifa.
Mwalimu wao anasema eti wanafunzi wake ni vilaza kwa vile hawakutani na wanafunzi wenye ushindani hapa nchini.
Hata hivyo sisi tulishawaonya mapema kuwa wametengenezewa mazingira ya kufaulishwa hapa ndani kwa kuiba maswali ya mtihani na kusahihishwa kwa upendeleo ili wajikute ni wakubwa.
Matokeo yake wanaumbuka kimataifa.
Kwanza walikuwa kundi la wanafunzi dhaifu sana ambalo angelikuwa mnyama angeomgoza vizuri kundi hilo.
Sasa wengi wanamlalamikia mwalimu saidi! Saidi mbona wewo!
Kocha anawapenda Dube na Msonda lakini zama zao zimeshapitaHesabu za kutoa na kujumlisha ni ziliwafanya familia nzima kutembea na calculater lakini matokeo yake wamefeli mtihani kimataifa.