Fikiria Wenje ndio atakuwa Mwenyekiti wa Nidhamu CHADEMA

Fikiria Wenje ndio atakuwa Mwenyekiti wa Nidhamu CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli siasa za hii Nchi ni ngumu sana

Ninachomuomba Alhaj Mchengerwa atupangie Timu makini ya Wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa October kwa sababu Wahuni siyo watu

Mlale unono 😄
 
Dk. Slaa amekamatiwa tangu jana usiku. Yuko wapi Lissu ambaye anaungwa mkono na Dk. Slaa? Yeye si hana mchezo na siasa za maridhiano? Nilitarajia mpaka sasa hivi angelikuwa mtaani na watu wake wanakinukisha hadi Dk. Slaa anaachiwa.

Ahahahahaha! Lissu asipokuwa makini na key boards warriors ataishia kuwa kama Prof. Lipumba. Ila itakuwa afadhali Prof. Lipumba ni Mwenyekiti wa CUF! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom