Dk. Slaa amekamatiwa tangu jana usiku. Yuko wapi Lissu ambaye anaungwa mkono na Dk. Slaa? Yeye si hana mchezo na siasa za maridhiano? Nilitarajia mpaka sasa hivi angelikuwa mtaani na watu wake wanakinukisha hadi Dk. Slaa anaachiwa.
Ahahahahaha! Lissu asipokuwa makini na key boards warriors ataishia kuwa kama Prof. Lipumba. Ila itakuwa afadhali Prof. Lipumba ni Mwenyekiti wa CUF! Ahahahahaha!!!