Fikra tamanifu za makamanda

Mbona naona wewe unateseka sana kuliko hao makamanda ??

Thread ya ngapi hii ??

Nchi hii ina watu milioni 60 lakini mijitu imekomaa CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA.

Kweli Mibongo ni mibongo tu.

Takataka
Mimi pia najiuliza swali hilo hilo, mbona wanaonekana wanateseka kwa kitu wanachoamini kuwa hakiwezi kutokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kwenye "uwepo wa vyama vingi katika mazingira ya kisheria yanayopendelea chama tawala," siyo kweli. Vyama vya upinzani ndivyo vinavyopendelewa na mifumo & sheria -- Bob Amsterdam, wakili international wa Mr Mzungu, Amnesty International, "Yuman" Rights Watch, ICC, EU, Marekani, Mike Pompeo, David MacAllister, Ubalozi wa Ujerumani na US, Shangazi, Maria Sarungi, Kigogo2014, Lazaro Nyalandu, Shekhe Ponda na yuleee Baba Askofu na wengine baadhi wasiojua maana ya uzalendo.
 
Kama Jiwe hatapelekwa huko wewe unaumia nini? Pili anayepangwa kupelekwa ni Jiwe na wala siyo wewe so kufanikiwa au kufeli kwa Jambo hilo sidhani kama lina uhusiano na wewe.
Sasa nawe inakuhusu nini???
 
Sikuzote nasema CHADEMA wanaongozwa na mihemko hivi siku wakataeni viongozi mje na ajenda za katiba mpya sidhani kama kuna CCM ambaye hataunga mkono
 
Wala hatuna stress,tunakunywa bia maisha yanaendelea!Ila tukisikia mbinyo kutoka kwa mabeberu basi ni furaha kwetu maana wanatusaidia kumlegeza adui yetu mkubwa ambaye ni sawa na shetani!
 
Sikuzote nasema chadema wanaongozwa na mihemko hivi siku wakataeni viongozi mje na ajenda za katiba mpya sizani kama kuna ccm ambaye hataunga mkono
Kwani CCM hamuwezi kuleta katiba mpya?Au katiba mpya ni kwa ajili ya Chadema?
 
Wewe huelewi kitu. Huko ulikotaja hilo lichama la kikoloni halitakiwi kabsaa. Fanya utafiti kidogo ulete mrejesho
Wasinge mpokea kama mfalme, labda Chama lakini Mkulu kwao wanamkubali na wamembeba.
Usifikiri wote tuna akili ya mgando hatutaki kujua maeneo mengine wanasema nini kuhusu Mkulu mbali ya Dar na kwetu.

Usiaminishwe uongo akaukabali bila kujuwa maswali elimishI.
 
Huko watu ni wengi mkuu, mgetuletea hata diwani mmoja. Kwetu ukweli unabaki wananchi walikengeuka muda kidogo kabla ya uchaguzi.

Kwa matokeo mimi siyashangai, ila kiwango ndio taabu lakini uwezekano wa kupoteza ulikuwa wazi muda kidogo.

Mimi sio mpinzani ambaye hata ukweli pakiwa na ushahidi nakataa.
 
Wewe ni nyumbu?
Hapana mimi ni Mtanzania na mpiga kura. Naambiwa haki yangu ya kura halali ilikuwa substituated na kura za kwenye mabegi meusi. By the way are you a member of praising team from Lumumba FC??
 
Si makamanda wote wa chadema tunawaza hivyo, kuna ambao tunajielewa hatuwezi kuwaza ujinga kama huo.
Mimi nipo tofauti na wao, na hili tatizo la kutamani yasiyowezekana limefika hadi kwa viongozi wakuu wa chama.
Utajuaje kuwa hakiwezekani bila kujaribu?

Amandla...
 
Hapana mimi ni Mtanzania na mpiga kura. Naambiwa haki yangu ya kura halali ilikuwa substituated na kura za kwenye mabegi meusi. By the way are you a member of praising team from Lumumba FC??
Lumumba FC ni timu ya mpira wa miguu?
 
Mitano tena

Ukandamizaji hauna chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…