kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Poleni sana WaTZ wenzangu kwa yote Mungu ni mwema kila wakati, Binafsi nazingatia ya Wizara ya Afya.. Japo nakula sana cha A town no Church, Maombi kila sehemu mpaka kwenye Daladala chooni nikiwa nakata Gooooo goooo usirudi nyuma kuwa Makini Afya ni yako na chaguo ni lako..
Fikra za geto na cha A town nimekula nikapulizaa kiporo cha Wali maharage one two za kutosha mara deep c kiwango cha Wasafi fm mixer Kaaaamasutra.. mara paaap gheto kelele za zisizo eleweka amini jomba kumbe ni Panyaaa kitu nacho puliza kimewabust vichwa wanaona kama Ghetto Father sipo..
Wanacheka wanazunguka Ghetto kama Taxi... nimeenjoy sana kuona Mswepeso unakiwasha kichwani kwangu na kwa Panyazi wote tuna feel so HIGH LEVEL.
Peace & Love kwa wotee mwanangu MASK UKIWA NJEE YA HOME pamoja sana.