NdioJe katiba mpya ndo itakuwa mwarobaini wa matatizo yetu ya kimaendeleo?
Ndio
SABABU
1. Upatikanaji wa viongozi halali kutoka kwa wananchi ambao watakuwa wanatambua mahitaji ya nchi na wananchi.
2. Kutazama upya muundo wa ngazi za utawala nchini na kuondoa ngazi ambazo zinafuja rasilimali pasipo tija kama vile Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Afisa Tarafa.
3. Kuweka taratibu za kuwa na vyombo huru visivyokandamizwa na chama tawala kama vile Tume ya Uchaguzi, Taasisi ya kupambana na rushwa n.k
4. Kuondoa ulimbikizwaji wa madaraka kwa mtu mmoja kama vile Mbunge kuwa waziri, Mbunge kuwa Mkuu wa Mkoa n.k
Haya yote na mengine yana nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya taifa na wanataifa
Nitakuja kesho kuja kuanza kutoa maoni yangu mh January.
Lakini initial post iko FB ambako mleta hoja kai copy sasa haya ya huku JF yatakufikia kweli pia?
Ningependa wandugu hapa tujibu hoja tujaribu sana kujiepusha na personal attack dhidi yake.
Ndio sababu nimeshauri busara itumike na badala ya kumjadili yeye ijadiliwe mada maana ndicho cha maana. Ni issue hot na watawala wanafahamu ni hot issue. Pinda amekiri wazi.Alichofanya January ni kuchokoza mjadala. Sasa badala ya wadau kubaki ndani ya mstari na kujadili maswali ya January wameanza mashambulizi binafsi...maya yeye ni layman kwenye sheria mara mtoto wa fisadi...things not pertinent to the argument.
Ndio
SABABU
1. Upatikanaji wa viongozi halali kutoka kwa wananchi ambao watakuwa wanatambua mahitaji ya nchi na wananchi.
2. Kutazama upya muundo wa ngazi za utawala nchini na kuondoa ngazi ambazo zinafuja rasilimali pasipo tija kama vile Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Afisa Tarafa.
3. Kuweka taratibu za kuwa na vyombo huru visivyokandamizwa na chama tawala kama vile Tume ya Uchaguzi, Taasisi ya kupambana na rushwa n.k
4. Kuondoa ulimbikizwaji wa madaraka kwa mtu mmoja kama vile Mbunge kuwa waziri, Mbunge kuwa Mkuu wa Mkoa n.k
Haya yote na mengine yana nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya taifa na wanataifa
Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? [/COLOR]
If we agree on genetics theory,no one should expect something different from this son of Leftenant Yusuf Makamba
'If two people are thinking alike then one of them is not thinking at all'If English language is obstacle to you, then use whatever language is understood by majority of your readers. I detest people who use language that they are not comfortable with and as a result they do not convey the right message to their target reader
Kwani ni wapi January kakataa katiba mpya?
[ Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? Are "patches" (amendments) sufficient reason to rewrite the constitution? (USA constitution has 27 amendments). Is the constitution really that critical for development (UK does not have one). What process do we use to determine the contents of new constitution?[/B]
Huyu January ndio yule mtoto wa babu jinga Makamba? au ni surname ndio imefanana?
Labda aliposema UK anaongelea katika context of written and codified.kitendo tu cha kusema ya kuwa UK hawana katiba kimenifanya nijiulize hata kama huyu mtu anajua katiba nini. Ndio viongozi wetu hawa mnaosema machachari na wengine mlitaka apewe hu-waziri.
kazi kweli kweli.
January Makamba
Tuzungumze Katiba mpya. Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? Are "patches" (amendments) sufficient reason to rewrite the constitution? (USA constitution has 27 amendments). Is the constitution really that critical for development (UK does not have one). What process do we use to determine the contents of new constitution?

If English language is obstacle to you, then use whatever language is understood by a majority of your readers. I detest people who use language that they are not comfortable with and as a result they do not convey the right message to their target readers