Fikra za January Makamba Kuhusu katiba Mpya


Ni sawa na kumtusi dokta raisi Kikwete kwani huyo alikuwa MSHAHURI wake katika mambo ya MAANDISHI( kusoma na kuandika) hicho KILUGHA!
 

This is not America jack! Taifa la america lina zaida ya miaka 300 with only 27 ammendements thats means hiyo katiba maandalizi yake yalihushisha watu na makundi mbalimbali na walipo hafikiana ikaandikwa but ours it was just copied,pasted and keeps on ammended which is obsolete,Mwalimu Nyerere kuhusu madini yetu alisema tutayachimba pindi tutakopokua na wataalam wetu na sasa wataalam wa nyanja mbalimbali tunao and the time is rihts to overhaul the all constitution which can meet the need of today,tomorrow and 300years or 1000 years to come otherwise you tell me that this country will perish after your era is over....!!!
 
Mtoto wa Makamba ni Makamba, kwa hiyo mimi sioni cha kujadili. akili ni sawa na ya kukuya kupayuka tu. What process do you use, and waht process did you use in the beginning? Makamba part II
 

'' Like Father like son''
 
Gonga hapa January Makamba kisha fuatilia habari hiyo. Kama hujawahi kuwa member wa facebook ndio wakati utatakiwa kujiunga kwanza kwa kufanya registration. Hakuna mtu anaweza kufikia pale alipoweka mchango huo january kama sio memba wa facebook.
 
Hawa ndio waliokuwa wakimpeleka JK marekani kila kukicha ili nao wapate kwenda kuwakoga wwatu huko.Hajui hata umuhimu wa katiba. Ebu wewe januari tuambie kwa nini shati au suruali ya viraka ni aibu, ya nini katiba yetu iwe na viraka? Akili tegemezi ndiyo inasababisha mtu kuwa mvivu kiasi cha kutoa hoja tegemezi. Eti Marekani na Uingereza!!!!
We want our own suitable constituition to take care of Fisadis,wachakachuaji wa kura nk.
Unanufaika na katiba inayoruhusu udikteta kiasi cha polisi,u/taifa, jeshi kushirikiana kuiba kura ?? We want to do away with our country being a police state.
 
badala ya kujadili issue mnamjadili January

halafu mnadai katiba mpya!

Kutokana na maswali ya kebehi aliyouliza kwenye hiyo FB page yake, huyu bwana anastahili matusi yote anayotukanwa hapa. Maswali haya yanaonyesha wazi ya kuwa mbunge huyu haeshimu utawala wa sheria na anajaribu kufananisha jua na mwezi. Kwa hiyo, kwa kuwa Uingereza hawana katiba basi na sisi tusiwe nayo! Sijapata kuona uwezo finyu wa kufikiri kama huu; hivi huyu ndio mtu mliokuwa mkisema ana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo?
 

mkuu.... thread uliyoomba hi hapa
 

huyu ndio Januari Makamba..... nae ana marathon za kuwa President one day...... sijui itakuwaje
 
katiba mpya sio ombi ni haki yetu!hatuhitaji kujiuliza hayo maswali yake wala kujifananisha na awaye yeyote!January hayo maswali hayana tija kwa taifa!usijaribu kutetea serikali inapotaka kutunyima haki walipa kodi wake.napata hasira tunawalipa mshahara then mnatuletea mambo ya ajabu ajabu!
 
Kwa wasiojua, Januari alikuwa ndiye mwandishi wa hotuba za rais na mshauri wa karibu wa rais kuhusu upayukaji majukwaani. This can explain why jk's leadership has failed.
 


Mpeleeekini jibu hilo huyo January. Ni kizungu changu cha kuunga unga nadhani ataelewa. na baada ya ku google wamesema hivi kuhusu maneno yasyo ya kweli kuwa UK haina katiba
Muulizeni pia ule mpango wake wa vipi tulisoma article kuwa atakopa magari maalum ya kubeba matunda kwa ajili ya jimbo lake.
 
The UK has an unwritten constitution based on over 1000 years of legal evolution from Magna Carta to the present day. Huyu Januari anaongea nini?
 
huyu january kwannz alipitaje bila kupingwa? Kwenye jimbo lake wasomi ni wachache na wanasiasa au ?
 

Usijali katika hii mpya tunayoipigania tuta fanya kila jitihada kuweka kifungu kinacho fanana na nchi fulani hivi ambapo mtoto kurithi mali ya mzazi si automatic ili kuweka incentive kwa kila raia kufanya kazi ili kupata riziki afikiapo umri wa miaka 18. Kwa mzazi yeyote anayetaka mrithisha mali yake basi alipe ushuru usiopugungua 75% kwa serikali ili kuhamisha hiyo right ya umiliki kwa mtoto wake ama sivyo akitaka kutokulipa kodi basi arithishe charity organization yeyote ile na pia ili aweze kuilipa hiyo 75% kwa transfer ni only possible kama atakuwa amefikisha umri wa kustaafu=mzee e.g 60 years. Hii beside kutoa incentive kwa watu kufanya kazi itaondoa tabia ya watu kufisadi public funds na mambo mengine yanayofanana na hayo kwa minajili ya kurithisha vizazi vyao tabia za kifalme na kuondoa uwajibikaji kwa baadhi ya raia. Itatoa incentive pia kwa viongozi kujenga uwezo wa kitaasisi zaidi kuliko kuweka maendeleo at household level. Njia za kubana mafisadi bila kutishia investiment ziko nyingi sana... Hii pia itasaidia kesi nyingi sana za mirathi ila tu tukubali kuwa mtoto na wazee watakuwa mali ya taifa so kuwawekea mazingira ya ulinzi (provision of basic needs) wakutosha kama watakuwa hawana wazazi au watoto wakuwasaidia hii inaweza kuwekea time frame na as uchumi utakavyokuwa unakua then wanakuwa totaly owned na society kama ilivyo kuwa zamani this time ikiboreshwa zaidi badala ya family ku take care basi state.
 
Tayari anajulikana yuko upande gani kwahiyo wala hamna hata haja ya kujadili mawazo yake!!Huwezi kutegemea mtu kama huyo kutaka katiba mpya ambayo itamuumiza yeye na kufaidisha Watanzania...maana kuwawezesha ..kuwafaidisha na kuwasaidia Watanzania sio part ya agenda yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…