Utaritibu wenu upi huo? Yote hayo mliachiwa na mkoloni, kutoka maRC, MaDC hadi kwenye mipaka ya wilaya na mikoa. Alafu mkoloni mweusi CCM akakumbatia hayo yote kwa mikono miwili na wala hamna mipango yeyote ya kujiandikia katiba yenu mpya kama watu wanaojielewa.Huo ni utaratibu wetu tuliojiwekea hata hao wanaochaguliwa ni smoke screen tuu, tulio hapa tunaona kinacho endelea. Wengi wa hao masenator hasa republicans wanachaguliwa kimabavu kwa kutumia gerrymandering.
Tz mlijiandikia lini katiba mpya? Usianze kunieleza kuhusu ammendments(marekebisho)Katiba ipi iliandikwa na mkoloni?
Kumbuka kwamba Tundu Lissu walimpaka vicks pekee yake kama huduma ya kwanza. 😀 Kisha wakamuandikia refferal ya kutibiwa Nairobi, na alikuwa na maumivu ya risasi mwilini sio cancer.Serikali ya udikteta wa Tanzania ina sifa dunia nzima kwa upishi wa data.
But here in Kenya you don't even have to take our word for it. Tunatumia data za mashirika ya kimataifa.
United Nations Conference on Trade and Development last year listed Kenya as one of Africa's top destination for medical tourism. Tanzania haipatikani popote kwenye hiyo list.
https://www.businessdailyafrica.com...al-tourism/3946234-4009460-smulr9z/index.html
Tanzania ambayo nchi nzima ya watu millioni 60 haina PET CT scanner, yaweza kuwa aje ndio destination ya wakenya kwa matibabu ya cancer?
Hizo ni siasa za ndani huzielewi, Lissu alikataa kutibiwa na serikali.Kumbuka kwamba Tundu Lissu walimpaka vicks pekee yake kama huduma ya kwanza. 😀 Kisha wakamuandikia refferal ya kutibiwa Nairobi, na alikuwa na maumivu ya risasi mwilini sio cancer.
Sasa sisi tunawazidi nini watu wa Kenya kwa mfano.
1. Riadha na ndondi ktk national level wako mbele sana.
2. Viwanda tena ndiyo usiseme. Tanzania ni soko lao.
3. Mipira wa miguu na mikono ktk national teams wanatuzidi.
4. Democracy wanatuzidi mbali sana.
5. Huduma za afya & matibabu wako mbele kulinganisha na sisi.
6. Diaspora nje huko wanatutimulia vumbi
7. Mahakama zao angalau ziko vizuri kuliko zetu zinazoendeshwa ki siasa.
Sisi tunachowazidi Kenya ni ardhi kubwa, madini, vivutio vya utalii nk. Lakini napo hatuvitumii ipasavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka kwamba Tundu Lissu walimpaka vicks pekee yake kama huduma ya kwanza. 😀 Kisha wakamuandikia refferal ya kutibiwa Nairobi, na alikuwa na maumivu ya risasi mwilini sio cancer.
Nimekuelewa boss, alikataa kutibiwa na serikali akiwa hali mahututi na hajielewi baada ya kupigwa risasi. Kwasababu serikali tukufu ya Tz ndio huwa inawatibu watz wote na hospitali zote Tz ni za GoT. Shukran.Hizo ni siasa za ndani huzielewi, Lissu alikataa kutibiwa na serikali.
We sikuhizi umekuwa mswahili sana.Nimekuelewa boss, alikataa kutibiwa na serikali akiwa hali mahututi na hajielewi baada ya kupigwa risasi. Kwasababu serikali tukufu ya Tz ndio huwa inawatibu watz wote na hospitali zote Tz ni za GoT. Shukran.
Alafu nilisahau kuuliza kwanini Lissu hakupelekwa Rwanda au Uganda. [emoji1][emoji1][emoji1]We sikuhizi umekuwa mswahili sana.
Sasa sisi tunawazidi nini watu wa Kenya kwa mfano.
1. Riadha na ndondi ktk national level wako mbele sana.
2. Viwanda tena ndiyo usiseme. Tanzania ni soko lao.
3. Mipira wa miguu na mikono ktk national teams wanatuzidi.
4. Democracy wanatuzidi mbali sana.
5. Huduma za afya & matibabu wako mbele kulinganisha na sisi.
6. Diaspora nje huko wanatutimulia vumbi
7. Mahakama zao angalau ziko vizuri kuliko zetu zinazoendeshwa ki siasa.
Sisi tunachowazidi Kenya ni ardhi kubwa, madini, vivutio vya utalii nk. Lakini napo hatuvitumii ipasavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta evidence as far as I know Kenyan doctors got stripped their licences to practice!Machungu kweli.
Cuba na Kenya walifanya exchange programme. (knowledge transfer). Madaktari wa Kenya wako Cuba, wa Cuba wako Kenya.
Wote wanalipwa mishahara. Hakuna msaada.
Kama Tanzania inaongoza kwenye afya, kwa nini takwimu zinasema:
1. Mnaongoza kwa infant mortality
2. Nyinyi wa mwisho kwa life expectancy.
3. Nyinyi wa mwisho kwa health insurance coverage.
4. Nyinyi wa mwisho kwa doctor to population ratio.
5. 92% ya watoto wenu under 5 years wako malnourished.
Wewe unaelewa maana ya afya ni nini?
Leta evidence as far as I know Kenyan doctors got stripped their licences to practice!
Leta evidence ya Kenyan doctors in Cuba working!Yes, those who had the license but hadn't been practicing. Kumbe hata hujui nini ilifanyika. Sasa ungejuaje na huko kwenu Daktari wa kutoka Mbeya ni Daktari tu
Wapo but huko ni HELL ON EARTHLeta evidence ya Kenyan doctors in Cuba working!
Navyojua bondia anayeshika nafasi ya juu Afrika ni Mtanzania, kwenye Afya tunaongoza kwenye kila sekta wakati Kenya inaomba msaada wa madaktari kutoka Cuba. Kuwa na Diaspora kubwa ni kiashiria cha kuwa na nchi yenye matatizo (watu wanaikimbia nchi yao). Demokrasia gani Kenya iliyonayo, wakati kati ya maraisi wanne, watatu ni Wakikuyu?
Number 2,3,4,5,7 hakuna eneo mkenya anaipita Tanzania hapo, wewe kama umekalia habari za ufipa 24/7 sio kama mambo mengine hayaendelei Tanzania
Tanzania imepiga hatua kwenye hizo sector kuliko nchi yoyote Africa mashariki na kati
Kabla ya mashindano makubwa ya mpira wa miguu kama UEFA au kombe la dunia kuanza, vyombo vya habari vya Uingeraza huongea sana kuhusu timu yao. Wakianza kuwasifia wachezaji wao utaamini kabisa kuwa mwaka huu hakuna timu itawafunga.
Na kwa kweli kama ushindi ungekuwa kwenye media basi Uingereza ingekuwa inashinda kila siku. Cha ajabu ni kuwa mashindano yakianza Uingereza huwa timu ya mwanzo mwanzo kutolewa.
Tabia hii ya Waingereza ya kujisifu sifu sana, kama mbwa anayebweka bweka bila meno imewaathiri sana wakenya. Kuanzia "koko" (babu) yao Njonjo mpaka vitukuu vyao sasa, ni kelele tuu wakati hamna kitu.
Utamkuta Mkenya anasema "sisi tuko na ghorofa mrefu East Afrika" wakati ukiliangalia jengo lenyewe unaona ni kiandunje fulani hivi kinachosaidiwa na Mnara.
Kwenye utalii watapiga kelele wakati mapato yao hata $1.4 billion hayafiki, kwenye uchumi watasema wana GDP kubwa huku watu wanakufa na njaa na ukiangalia "GDP to debt ratio" yao unaweza hata kupawa na ugonjwa wa moyo.
Kwenye jeshi ni hivyo hivyo kelele "mingi" lakini Alshabab wanakuja wanawachapa bakora na kuondoka bila wao kuwafanya kitu.
Jamani, ondokaneni na akili za wakoloni "wenyu" wenye kelele "mingi" kwa media lakini timu yao ni kichwa cha mwenda wa zimu Ulaya.
Mjitathmini ni wapi mnakosea kama nchi siyo kujitapatapa bila sababu, wenzenu ndo tunawaacha hivyo.
Ufipa nitoeko kabisa nazungumzia fact.
Angalau umekubali namba 1 na 6 tunazidiwa. Lakini hizo unazokataa fanya utafiti bila mhemuko wa kizalendo utakubaliana nami wako mbele yetu. Tufanye juhudi za makusudi kuwafikia ingawa na wanaendelea mbele. Mfano viwanda sisi tunafanya siasa kuwa viwanda 3000 vimeanzishwa ndani ya awamu ya 5, viko wapi ?!. Mfano mwingine ni mpira ukiondoa Azam, Simba na Yanga wenye wadhamini wa maana kulikobaki ni majanga pamoja na national teams .
Katika afya nimewahi kumrusha mgonjwa kwa ndege toka Mwz hadi Nairobi. Kila kipimo kilichotakiwa kilipatikana hata usiku wa manane mradi umelipa. Kwetu hapa ndiyo baadhi ya vipimo mh. Rais ameamuru vinunuliwe na bado vinapatikana ktk ngazi ya rufaa na si mikoani kuliko na wagonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta evidence ya Kenyan doctors in Cuba working!
Kenya not yet Uhuru (By a Kenyan)Panda ndege uende hadi Cuba ukawaangalie. Swine