Kenya not yet Uhuru (By a Kenyan)
PEV, 2000 value less lives of Kenyans lost, no one was charged. Failed state.#Kibiti massacre.
PEV, 2000 value less lives of Kenyans lost, no one was charged. Failed state.
Name one Tanzanian, shall name hundreds of Kenyans since independence who have either disappeared or massacred by Kenyan government apparatus.AZORY GWANDA. MAWE MUST GO. The Slobodan Milosevic of East Africa
Eneo gani ambako Kenya wako vizuri?Kenya wapo vizuri kuachilia na kasoro kadhaa walizonazo, ni kweli Kenya wanapenda kujikwanza sana na wanawaona Watz kama watu wasiosoma na wasiojua lugha ya mkoloni, nadhani story kuwa Obama alipata kuishi Kenya imechangia Zaidi wao kujikweza. Kitu kikubwa kiachowamaliza Kenya ni ukabila, nimeishi nao huku ughaibuni Mkenya mmoja wa kabila moja aliugua karibia kukata roho wakenya wenzake wa kabila jengine hawakuweza kumsaidia hata kidogo, Watanzania ndio tuliochukua jukumu la kumhangaikia yule jamaa kwa matibabu na vyakula hadi akawa mzima. Kutokea hapo alijitangazia yeye sasa ni Mtanzania.
Eneo gani ambako Kenya wako vizuri?
Kabla hujamquote ungeangalia jina lake,wala asingekusumbuaNavyojua bondia anayeshika nafasi ya juu Afrika ni Mtanzania, kwenye Afya tunaongoza kwenye kila sekta wakati Kenya inaomba msaada wa madaktari kutoka Cuba. Kuwa na Diaspora kubwa ni kiashiria cha kuwa na nchi yenye matatizo (watu wanaikimbia nchi yao). Demokrasia gani Kenya iliyonayo, wakati kati ya maraisi wanne, watatu ni Wakikuyu?
Umetaja maeneo mawili, bora umalizie maeneo yote, then nikutajie maeneo ambayo Tanzania ipo vizuri, then ulinganishe.Wapo vizuri kwenye mifumo yao ya elimu, wapo vizuri kwenye eneo la michezo. Ukiachilia mbali marathon, Kenya ni inchi ya 32 kwa ubora duniani kwenye mchezo wa rugby.Timu yao na netball inapambana sana
Ilikuwa ni exchange programme. Madaktari wa Kenya wapo Havana, Cuba. ELAM is the best medical school in the world. Kule kuna madaktari kutoka nchi 110 duniani! https://www.mwakilishi.com/article/...-doctors-fly-to-cuba-for-specialized-trainingLeta evidence ya Kenyan doctors in Cuba working!
Name one Tanzanian, shall name hundreds of Kenyans since independence who have either disappeared or massacred by Kenyan government apparatus.
Tom Mboya
Pio Gama Pinto
Robert Ouko
Makaburi
Aboud Rogo
Jacob Jumwa
Chris Msando
The list is endless.....
Hahahahaha, Tanzania ipo namba 51, Failed state ipo namba 123 kwa amani duniani. Mtaendelea kuchinjana huku mkiisoma namba 51 kwa mbali sanaThe 400 dead in the KIBITI Massacre, The thousands upon thousands of Albino people, The thousands upon thousands of children killed for black magic. Show us the mass grave in KIBITI
Leta evidence as far as I know Kenyan doctors got stripped their licences to practice!