smttz
Member
- Sep 9, 2024
- 67
- 101
-Mara nyingi hujiuliza kwa bidhaa kama hii kuagizwa kutoka nje ya nchi !!! Ipo athari yeyote katika uchumi wetu? Kama ndio hatua zipi zichukuliwe?
-Mwanakijiji kwa umri nilionao sina hakika kama nimewahi kukuta bidhaa ya aina hiyo ikiwa na utambulisho wa utengenezwaji wa Ndani ya nchi, Swali kwa wabobezi wa uchumi ni kwamba tumeshindwa kuzalisha, au sera haziruhusu!!