Kwa nchi yetu Tanzania tumebarikiwa, kila kitu tunaweza kutengeneza hasa hivi vinavyohitaji malighafi za ndani. Kilichopo hakuna political will. Nikupe mfano. SIDO chini ya Mswiden lilikuwa shirika imara sana ila watanzania waliaba mpaka Mswiden akaomba poo akaondoka kabisa, sasa leo SIDO imebaki mifupa tu. Kwa ufupi watanzania sisi ni wezi sana yaani mpaka hiki kizazi cha wezi aidha atokee kiongozi aendeshe mauaji ya mafisadi wote yaani iwe chinja chinja halafu sasa baada ya kuwaua kije kizazi cha wazalendo.View attachment 3100109
As great thinkers naimani wabobezi wa sera za kiuchumi watanisaidia mimi mwanakijiji kuelewa.
-Mara nyingi kwa bidhaa kama hii kuagizwa kutoka nje ya nchi !!! Ipo athari yeyote katika uchumi wetu? Kama ndio hatua zipi zichukuliwe?
-Mwanakijiji kwa umri nilionao sina hakika kama numewahi kukuta bidhaa ya aina hiyo ikiwa na utambulisho wa utengenezwaji wa Ndani ya nchi, Swali kwa wabobezi wa uchumi ni kwamba tumeshindwa kuzalisha, au sera haziruhusu!!
ni kama nakupata hivi ova ovaKwa nchi yetu Tanzania tumebarikiwa, kila kitu tunaweza kutengeneza hasa hivi vinavyohitaji malighafi za ndani. Kilichopo hakuna political will. Nikupe mfano. SIDO chini ya Mswiden lilikuwa shirika imara sana ila watanzania waliaba mpaka Mswiden akaomba poo akaondoka kabisa, sasa leo SIDO imebaki mifupa tu. Kwa ufupi watanzania sisi ni wezi sana yaani mpaka hiki kizazi cha wezi aidha atokee kiongozi aendeshe mauaji ya mafisadi wote yaani iwe chinja chinja halafu sasa baada ya kuwaua kije kizazi cha wazalendo.
Hapana sio kulalama tu!! Mwisho wa hili andiko imezungumziwa jambo la kodi, mifumo ya kikodi ya nchi sio rafiki katika nyanja zote za kimaisha, Amini hicho na jambo hilo ni kama watawala halioni au wameamua kulifumbia kwa manufaa yao personal...."Last time nimepita shoppers nikanunua mkate ,kwa kweli baada ya kupewa risiti nilibaki kushangaa Kodi inakaribiana na Gharama halisi ya bidhaa...Just imagine, kwa taswira ya nchi ya kariba yetu ,ni kujipotezea Baraka za MunguFursa hiyo mkuu
Tafiti ujue gharama za kuanzisha kiwanda kama utazimudu anzisha kama ni nzito jaribu kutafuta mbia
Kuna vitu ni kujiongeza tu na sio kulalama kwa kila kitu
Nitakuelewa iwapo utasema serikali inaleta ugumu kuanzisha viwanda
Binafsi naamini ukiwa na mtaji unaanzisha vizuri tu au ukipata mbia kutoka nje milango ipo wazi kabisa