Dah kaka umeongea jambo la maana sana,wabongo hawajui mtu anayefany kazi iwe nzuri ni director,yeye ndo anayemchezesha msanii jins anavyotak kulingana na stori yake
Story yake,utakuta film nzur mtu anaanza ooh jb au wema noma anasahau kuw kuna mtu aliyemfany akawa vile had watu wakamkubali,mfano mzuri nichukue kwa huyu mdada rose ndauka,hyu ni muigizaj pia anamilik kampun ya filam,movie zake nyingi anazocheza ni nzur kwa kiwango cha kawaida ila kuna movie inaitwa LOST ADAM aliyoigiza na jb,ki ukweli ile movie alicheza kwa kiwango cha juu sana,dah yan alionyesha makali yake aswaa had nikamfananish na mastaa wa nollywood akina yvonne na inni eddo,duh mtoto alichezeshea akachezeka,sasa apa utapat kujua kuwa wasanii sio wabovu au tatizo bali ni madirector,pia ukimwangalia aunt ezekiel movie zake nyingi ni za kawaida ila usiombe ile kaz aliyofany na marehemu kanumba YOUNG BILLIONAIRE utajua kuwa kweli wasanii wetu wakichezeshwa wanachezeka apa tatizo ni directing mbovu,akina ray nenden shule acheni kibabaisha bana...