Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Kwenye pita pita zangu mtandaoni, Mjanja M1 nikakutana na post hii kutoka kwa 50 cent akiipigia chapuo Movie aliyoigiza na Mel Gibson.
Mjanja M1 nikawasha Smart Tv yangu na kui-play online.
Lahaullah Walakuwata! Movie ni mbovu sijawahi ona, yani hata sikuimalizia nikai-cancel na kuchagua movie nyengine.
Kwako mdau, ni Movie gani mbovu haumshauri mtu mwengine kuiangalia?