Filamu hii inaitwaje?

full metal jacket kibonge mchovu hata Mazoezi hawezi mwisho anapewa m2 wakumfundisha andaitwa privet paul
 
full metal jacket kibonge mchovu hata Mazoezi hawezi mwisho anapewa m2 wakumfundisha andaitwa privet paul
 
inaitwa full metal jacket
 
inaitwa full metal jacket

yule mzee alikuwa anamuonea sana. mkuu wao mwenyewe mfupi lakini anaongea huyo. kila kitu lazima useme yes sir, hata akikukoa unasema yes sir thank you. bonge akaona haiwezekani ninyanyasike. km kawaida mzee akaja anafoka kama alivyo zoea, bonge akampa shaba moja na yeye kajilipua mchezo ukaisha.
mi napenda pale wanapo imba "alisemaa alisema..alisema nyerere alisema, vijana wangu wote mumelegea, shariti tuanze mchakamchaka..chinja.
 
Hahaha Full Metal Jacket ni ya kivietnam watu wapo vitani mi nilifikiri labda Police Academy lakini hiyo ya jamaa nadhani si comedy.

Mimi pia natafuta title ya movies 2, moja ni ya jamaa anasafiri kutoka Mexico anaingia marekani ni Comedy nadhani title yake inahusiana na "Lost in southern LA ...." au kitu kama hiki.Inachekesha sana nilioona sehemu kipande tu.

Nyingine ni cow boy movie, jamaa walikuwa 3 . KUlikuwa na kijana mdogo ambaye hajui lolote kuhusu mambo ya kupigana kwa silaha, kuna boss ambaye ni mkubwa na kuna worrior anaye report kwa boss mkubwa. Hawa jamaa walikuwa wanaenda kupigana na uonevu kijiji kimoja hadi kingine.At some point yule dogo akafariki.

Nakumbuka quote kuna sehemu boss wao akasema "some things which can happen to men are worse than death itself......." nimeitafuta sana siipati , ni movie yenye mafundisho sana ndani yake.
 
Kama Kama hao watu walinyakuliwa wakiwa kweny ndege wanaenda German kweny mkutano ;

Basi hio movie inaitwa """The mark""
Kuna cheap waliplant kweny mkono wa mlinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…