B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Hivi unaijuaKwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa kunishukuru:
1. King of Johannesburg ( Joburg)
2. Savage Beauty
3. Queen of Sono
4. Fatal seduction
5. Shaka Ilembe.
Ukipata Muda fuatilia vyuma hivyo.
Uje unishukuru
South Africa ni ulaya ndogo ile huwezi fananisha na nchi zetu hizi hata siku moja..Kwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa kunishukuru:
1. King of Johannesburg ( Joburg)
2. Savage Beauty
3. Queen of Sono
4. Fatal seduction
5. Shaka Ilembe.
Ukipata Muda fuatilia vyuma hivyo.
Uje unishukuru
South Africa ni ulaya ndogo ile huwezi fananisha na nchi zetu hizi hata siku moja..
Movie inatoka na inashinda tunzo za Oscars
"Sarafina"
Hizi movie nazipataje? kama ni kudownload nazishusha kupitia site gani mnakozipata ninyi? msaada tafadhari.
Escape from pretoriaKwema Wakuu!