Filamu kali za mwaka 2022

Filamu kali za mwaka 2022

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
560
Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu

1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie inaisha twist moja ya kibabe sana naipa rate 7/10

2. Uncharted 2022 ndani yupo tom holland na Mark wahlberg wamekiwasha kweli kweli ni hivi kuna meli ilikwama kipindi cha wakoloni ndani ya hiyo meli kuna dhahabu za kutosha kama wakizipata basi watakuwa matajiri lakini si wao bali kuna watu wengine wanahitaji hizo safari inakuwa ndefu sana kuna usaliti mwingi sana humu lakini ni adventure movie bora kabisa rate 8/10

3. Death on the nile 2022
4. See for me
5. The Batman
6. Black light
7. Spider man no way home
8. The dog
9. The weekend away
10. Borrego

Hizi baadhi ya movie zilizobamba mwaka huu
 
[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Battle at lake changjin
2.uncharted
3.batman
4.moonfall
5.escape through africa
6.kuna Moja jina sijaifahamu ila ni ya kikorea inaanza soldiers wanapewa mafunzo mpaka mission
 
The bombardment. Kwa wapenzi wa drama.
Screenshot_20220514-174055_Netflix.jpg
 
Ambulance
Uncharted
Spiderman No way home
Doctor Strange in the multiverse of madness
ambulance director kazingua, pia uandishi wake haukuwa mzuri sana. But story nzuri, na kamera na quality ya movie na vingine pamoja na choice ya actors ni nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu

1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie inaisha twist moja ya kibabe sana naipa rate 7/10

2. Uncharted 2022 ndani yupo tom holland na Mark wahlberg wamekiwasha kweli kweli ni hivi kuna meli ilikwama kipindi cha wakoloni ndani ya hiyo meli kuna dhahabu za kutosha kama wakizipata basi watakuwa matajiri lakini si wao bali kuna watu wengine wanahitaji hizo safari inakuwa ndefu sana kuna usaliti mwingi sana humu lakini ni adventure movie bora kabisa rate 8/10

3. Death on the nile 2022
4. See for me
5. The Batman
6. Black light
7. Spider man no way home
8. The dog
9. The weekend away
10. Borrego

Hizi baadhi ya movie zilizobamba mwaka huu
Uncharterd ya kawaida sana, umeisahau Ambulence
 
Sijui ni filamu, sijui ni series, au ni season, pia sijui ya mwaka gani lakini iko njema sana.
Women 9.9 bilionView attachment 2224564
Ni series ya kikorea ni ya Mwaka 2019 naungana na wewe ni Kali mno kuanzia story yenyewe mpaka mtiririko wake kiujumla.Ni moja Kati ya series Kali niliyowahi kuiyona ya kikorea ndungu yangu tafuta HIZI ni Kali mno tena zaidi ya hiyo moja inaitwa "Innocent defendant" hii ndio kwangu best korean drama of all time na nyingine inakwenda kwa jina la Watcher
 
Back
Top Bottom