Filamu kali za mwaka 2022

Kuna movie inaitwa Rise (based on true story) pia kuna movie inaitwa Hustle, nyingine inaitwa The man from toronto, nyingine The last night
Zote ni za mwaka huu 2022 pia kama ujaicheki Man vs Bee ya Mr. Bean nayo tamu sana japo kama ka short season

Ni movie kali sana, ili kuokoa muda na mambo yasiwe mengi, mimi hua na download Netnaija, movie inakua n mb chache ila through simu quality yake inakua nzuri tu.
 
Mkuu Hilo jina la movie hujakosea kweli,maana najaribu kuitafuta siipati
 
Nitarudi niwape list yangu kali ila hata ile ya Nigeria Eagle wings kali sana story ipo so clear. Nani kaiona Memories.
 
Kuna hii inaitwa THE WOMAN KING ngoja nisubirie nione maajabu yake
Your browser is not able to display this video.
 
Ukiachana na hizo zote, hebu sapotini na kazi za nyumbani kuna hii moja hamtajutia kuitazama, vijana wanapiga mwingi sana mimi nimempenda walichofanya kwenye kazi hii

Yupo mwanba Chris evans
 
The man from toronto Kevin Hat anaboa kweli yeye utani tu sasa hivi movie zake siangalii
 
Ni series hiyo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Nitarudi niwape list yangu kali ila hata ile ya Nigeria Eagle wings kali sana story ipo so clear. Nani kaiona Memories.
Nimeicheki hiyo memories ya leam neeson..iko poa mzee hanaga kazi mbovu yule.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukiachana na hizo zote, hebu sapotini na kazi za nyumbani kuna hii moja hamtajutia kuitazama, vijana wanapiga mwingi sana mimi nimempenda walichofanya kwenye kazi hii

Bongo movie [emoji706]

#MaendeleoHayanaChama
 
Blacklight
White elephant
Interceptor
Ndo nilizoangalia mpaka sasa
 
Kuna bwana nimemuazima flash yangu kaweka virus movie zote zimeharibika [emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ