Filamu mpya ya Black Sinday yazinduliwa Bongowood

Filamu mpya ya Black Sinday yazinduliwa Bongowood

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
21.jpg

MKURUGENZI Pili Pili Entertainment (katikati) Sameer Srivastava akiwa na staa wa muvi hiyo Kanumba.


Mbali ya Kanumba pia kulikuwepo na nyota wengine walioinogesha filamu hiyo vyema kama vile Aunt Ezekiel,Monalisa,Yusuph Mlela na wengineo.Uzinduzi wa filamu hiyo uliandaliwa na kampuni ya Pili Pili Entertainment na kuhudhuriwa na wageni waalikwa mbalimbali.

Mapicha ya tukio hilo kama ifuatavyo....
DSC07860.JPG

DSC07860.JPG
DSC07896.JPG
DSC07894.JPG


MY TAKE: Bongowood inazidi kukuwa na huu ni mwanzo tu maana sasa tutakuwa na movie za ukweli, premier za uhakika katika jumba la ukweli la New World Cinema...
 
DSC07894.JPG


Hii picha ya mwisho huyu dada wa kushoto ndo kakaa mkao gani?...mbona kama vile mambo hazarani, yani nanihiino njenje!., au biashara matongozo?.....huh!
 
BONGOWOOD?
hizi wood thingies aint sickened you jamani?
why not BONGOMUVI or BONGOFILM? lini mtakuwa wabunifu hata majina mnaiga.

Wazimu mtupu
 
Kama kawida ya Muvi zetu, jina la kiinglish lakini muvi ya kiswazi sasa sijui inakuwaje hapo.
 
Ingawa nawaunga mkono lakini nasisitiza ubunifu
 
BONGOWOOD?
hizi wood thingies aint sickened you jamani?
why not BONGOMUVI or BONGOFILM? lini mtakuwa wabunifu hata majina mnaiga.

Wazimu mtupu

kwetu huwa ni copy and paste
 
Back
Top Bottom