Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
U.S Marine Ray Garrison anapoamua kwenda mapumzikoni baada ya kumaliza mission ya ukombozi jijini Mombasa. Watu wanaohitaji maelezo ya kijasusi kuhusu mission ile wanakatisha vacation yake na kuamua kumsurubisha mkewe mbele ya macho yake.
Hata alipoamua kuwaambia ukweli kuwa hana analojua, ukweli walioujua wao ni kuwa Ray hastahili kuishi. Garrison akaondolewa uhai na risasi moja tu yenye nguvu.
Ni Harting, mwanasayansi wa zama hizi, mtu aliegundua teknolojia ya kumrudishia uhai marehemu na kumfanya asiwe binadamu wa kawaida. Ni vifaa vitavyoanza kufanya kazi miaka mingi sana ijayo,inajaribiwa kwenye mwili wa Garrison na inakubali.
Hart, mgunduzi, hakuamini. Hata alipokuja kujua kuwa kafanikiwa, akaamua kufanya zoezi lingine la kisayansi lililokuja kuzaa kizaazaa.
Alimbadilisha akili ray kutoka alichokuwa anakijua kwenye maisha yake yaliyopita kuja maisha yajayo....akasahau kuwa ray alipotezewa mkewe na aliahidi kuwatafuta wabaya wake...
Ni special nanite technology ndo iliyotumika. Damu ya Hary ilikuwa inazunguka wadudu muda wote. Jaribio la kisayansi la kumfanya Hary asiwe na kumbukumbu likabadilika na kuwa ni jaribio la kumfanya mwanaume huyu awe nusu mtu nusu machine.
Ni hapo ulimwengu ulipochafuka. Tiba ya kumrudisha Ray maabara ikawa ni kama kumtafuta mtoa roho kwa tochi. Hashikiki haambiliki. Anawataka watu wake.
Wakati Hart akitafuta suluhisho la Ray anaamini kwenye maabara yake yupo Eric, hacker, mtu wa computer ambaye ana uwezo wa kuufanya ubongo wa binadamu ucheze mziki alio-play yeye. Ni fundi wa kisayansi kwenye maabara ya Hart.
Ila si kila fundi ana fundi wake?
Ndio. Wakati Ray akitafuta msaada wa kuondoka kwenye mikono ya Dr Hart ili asiondolewe uwezo wake wa kumbukumbu, anakutana na Wilfred Wigan, Mmarekani mweusi mwenye utani muda wote. Hata Ray hakuamini kuwa atamsaidia.
Tunaambiwa tusidharau watu kwa muonekano wao eeh! Ray akiaminii Wigan hana analojua ndipo anapokujja kujua kuwa vidole vya Wigan ndivyo vilivyomfundisha yule Erick wa kule maabara ya Hart jinsi ya kuitumikisha nanite system.
Hata Dr Hart alipomuuliza Erick kuwa nani huyo kaingilia system yetu Erick alijibu ni mwalimu wangu, na sasa hatuna jinsi ya kumzuia Ray huko mtaani maana yupo kwenye mikono ya mtu anaejua system mpaka system inamuogopa yeye.
Dr Hart anaenda front mwenyewe, anaamua kutoa order Ray auwawe; kuwa hawezi kutishwa na kinyago alichochonga mwenyewe, hakujua Ray sio binadamu tena ni nanite system iliyokamilika.
Ni vita ya kisayansi kwenye zama za sayansi.