Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
[emoji1][emoji1][emoji1] sawa mkuu,Gari nyingine ya kutembelea ipo mkuu.Hii convertible itakua Ni ya weekend tu.
Napenda adventures Sana na nimeshanunua GO PRO tayari kwa ajili ya tours kwny convertible mkuu.
Duh hizi SUV naonaga wanaziharibu mkuu zikiwa convertible/cabriolet, niliona mpk Murano convertible yaani shape yake imekua mbaya.Nilifanya test drive haikua stable barabarani ikiwa kwny high speed Ina shake sana.

Nafikiri ni kwa sababu ya balance
Mwanzo ni gari ya kawaida ila unaposhusha kuwa nusu hapo ndio tatizo linakuja kwa balance naona
Ndio maana unaona inahama njia au ku shake
Wamezidi na wao sio kila kitu kiwe majaribio na kutafutia Soko [emoji23][emoji23]
Hahah kama sio saloon convertible then SUV convertible haitafaa kabisa mkuu labdz ziwe dizaini za kama wakina Jeep Wrangler hizi zenyewe ziko poa.
Hili ndo jibu sahihi kelele zingine ni mbwebwe tu ile ni Movie[emoji23][emoji23][emoji2]STERLING HAUWAWI HATA AWE KWENYE BAISKELI