Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
kanumba akiwa na 21yr's alicheza filamu hii, watu wengi sana hawajawahi kuiona ila sasa ipo YouTube nenda kaitazame.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama promo sasa wewe ndo umeipandisha?🤔
Itakua ni wewe ndo umepandisha, ukipata maokoto usimsahau Mamake kwa chochote kituSijajua aliye ipandisha, ila kila mtu amestaajabu kuiona huko you tube sababu ni movie ya kitambo sana tangu 2005 na haikuwa katika social medias