Filamu ya The Shock: Huyu dada alieigiza kama mchepuko wa Kanumba, mh si mchezo!

Filamu ya The Shock: Huyu dada alieigiza kama mchepuko wa Kanumba, mh si mchezo!

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,606
Reaction score
5,922
Habari za muda huu,

Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na mapemaaaa". Aisee ni mzuri tena zaidi ya mzuri yaani bomba sana•

Kanumba sijui alikua anawatoa wapi hawa warembo maana huyu hata kama ni mchepuko wako nawe una mke unakua unafanya matumizi mazuri ya pesa, kizungu wanaita value for money hapo ipo.

Inanikumbusha Bill Jerfeson Clinton, Rais wa USA alipokumbwa na ile kashfa pamoja na Monica Lewinsky, Hilary Clinton mwenyewe alisema ilibidi husband wake Clinton ashindwe kwa kuwa Monica alikua bomba sana na amemsamehe mumewe kwa kuchepuka•

Sasa totoz kama hiyo kwenye The Shock kama mkeo hajasimama kisawasawa hata akikukuta na huyo lazima atulie kimya"

Sijui kanumba alimtoa wapi huyu maana hata jina la ke kama la kilatini vile na kama alimchapa nao"basi jamaa alikua anakula vitu vizuri sana sio midubwana ya hovyo hovyo"

Najua kuna wengine wataponda lakini huyu dem ni mkalii kinoma aisee•
 
Mmmh kaka na ww sikuwezi kila sketi unaisifia mara jokha,mara mchepuko wa Kanumba sijui anafuatia nani?
 
Mmmh kaka na ww sikuwezi kila sketi unaisifia mara jokha,mara mchepuko wa Kanumba sijui anafuatia nani?
Hivi huyu ndie yule wa Jokha Kassim?
Kama ndiye basi sina cha kuhoji zaidi.
 
Ndio yy aliesema jokha mzuri ana rangi na nywele za asili.
 
Demu amefanana kimtindo na Wema kwa rafudhi na makalio
 
Huyu demu alikua classmate wangu o level xul flan chuga anaitwa Shazdah ni noma hataree hyo picha na kanumba hajatoka fresh kama alivyo kiuhalisia sio siri huyu mtoto ni matata na kichwani alikua vizuri sana yani dah nimemsifu hajataka kupaishwa na shigongo maana angeniboa sana.
 
Halati 88 dada“usiwe mchoyo wa sifa”
Hata wewe nikikuona umetokelezea lazima nikusifie”
Kama umeiona hii filamu sema mwenyewe huyu shazdah nani anamfikia kwa hao mabongo muvi wenu”
 
Halati 88 dada“usiwe mchoyo wa sifa”
Hata wewe nikikuona umetokelezea lazima nikusifie”
Kama umeiona hii filamu sema mwenyewe huyu shazdah nani anamfikia kwa hao mabongo muvi wenu”

Sijasema ni m'baya ila mwenzangu kila ukianzisha uzi ni kufagilia mademu tu,haya nisamehe kaka kama nimekukera.
 
Huyu binti ni mzuri hakika..Kanumba alikuwa anajua kuwatafuta mabinti warembo.
R.I.P
 
uzuri wa mti...ndani kipande cha mkakasii
 
Habari za muda huu,

Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na mapemaaaa”. Aisee ni mzuri tena zaidi ya mzuri yaani bomba sana•

Kanumba sijui alikua anawatoa wapi hawa warembo maana huyu hata kama ni mchepuko wako nawe una mke unakua unafanya matumizi mazuri ya pesa, kizungu wanaita value for money hapo ipo.

Inanikumbusha Bill Jerfeson Clinton, Rais wa USA alipokumbwa na ile kashfa pamoja na Monica Lewinsky, Hilary Clinton mwenyewe alisema ilibidi husband wake Clinton ashindwe kwa kuwa Monica alikua bomba sana na amemsamehe mumewe kwa kuchepuka•

Sasa totoz kama hiyo kwenye The Shock kama mkeo hajasimama kisawasawa hata akikukuta na huyo lazima atulie kimya”

Sijui kanumba alimtoa wapi huyu maana hata jina la ke kama la kilatini vile na kama alimchapa nao”basi jamaa alikua anakula vitu vizuri sana sio midubwana ya hovyo hovyo”

Najua kuna wengine wataponda lakini huyu dem ni mkalii kinoma aisee•

Mzuri lakini ni kicheche hatari, kanumba kajigongea akamuadi kumuoa lakini akaumuoa kwa sababu ya tamaa zake,watu wanajilia hapo watakavyo hela yako tu
 
Back
Top Bottom