BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Habari za muda huu,
Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na mapemaaaa". Aisee ni mzuri tena zaidi ya mzuri yaani bomba sana•
Kanumba sijui alikua anawatoa wapi hawa warembo maana huyu hata kama ni mchepuko wako nawe una mke unakua unafanya matumizi mazuri ya pesa, kizungu wanaita value for money hapo ipo.
Inanikumbusha Bill Jerfeson Clinton, Rais wa USA alipokumbwa na ile kashfa pamoja na Monica Lewinsky, Hilary Clinton mwenyewe alisema ilibidi husband wake Clinton ashindwe kwa kuwa Monica alikua bomba sana na amemsamehe mumewe kwa kuchepuka•
Sasa totoz kama hiyo kwenye The Shock kama mkeo hajasimama kisawasawa hata akikukuta na huyo lazima atulie kimya"
Sijui kanumba alimtoa wapi huyu maana hata jina la ke kama la kilatini vile na kama alimchapa nao"basi jamaa alikua anakula vitu vizuri sana sio midubwana ya hovyo hovyo"
Najua kuna wengine wataponda lakini huyu dem ni mkalii kinoma aisee•