mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
nachukia wayafanyayo sijui wakisha zaa watoto wakiangalia hizo fiamo mama analiwa kila dakika inakuwajeBONGO MOVIE HAWAJIFUNZI TU MIAKA YOTE YALE YALE
Mkuu nakuona katoka ubora wakoBONGO MOVIE HAWAJIFUNZI TU MIAKA YOTE YALE YALE
ni aibu tupu mkuu yaaninachukia wayafanyayo sijui wakisha zaa watoto wakiangalia hizo fiamo mama analiwa kila dakika inakuwaje
kawaidaaaMkuu nakuona katoka ubora wako
Tuwasahihishe kwanza jabla ya kunywa biaTunyweni bia jamani