Filamu yangu imeibiwa na Wahujumu uchumi wa Tanzania (ASALI CHACHU) nawatafuta kwa udi na uvumba

Filamu yangu imeibiwa na Wahujumu uchumi wa Tanzania (ASALI CHACHU) nawatafuta kwa udi na uvumba

silver25

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
743
Reaction score
44
Jamani ninafilamu yangu ya ASALI Chachu
Imeibwa katika Mazingira ya kutatanisha Huku ikisambazwa katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, sasa naomba Wadau msaada wenu kuiBlock na kuwakamata watu hao
 
Usiseme filamu yako imeibiwa........Sema filamu yako imeibwa
 
Ok Balantanda, Filamu yangu imeibwa, mmh kunakingine?
 
Ok Balantanda, Filamu yangu imeibwa, mmh kunakingine?

Hapana mkuu.....hakuna kingine...Neno kuibiwa linapoteza maana ya sentensi nzima mkuu wangu,samahani kama nimekukwaza.....



Bala.
 
Hapo nocoment kaka, kwanzan nashukluru kwa kunipa Elimu
 
Jamani we mgeni bongo nini? kuibiwa ni kitu cha kawaida hapa. Na kadiri unapotangaza kuibiwa ndivyo mwizi anapojificha. Kweli inauma lakini hali halisi ndo hivyo. Usilalamike sana chukua hatua kijana. kama vipi ukimpata nistue tumchangamkie.🙂
 
Ningekusaidia ila nipo mbali. Piga hii namba 0713 274 747 utapata msaada wa ushauri.

Pia unaweza kupiga hapa 0713 775 951 ni ya mhusika wa COSOTA (Copyright Society of Tanzania) ambao ndiyo njia pekee na muafaka kwa sasa. I mean utapaswa kuisajili kazi yako pale na uwaeleze tatizo lililojitokeza ili wachukue hatua kwani wana nguvu za kisheria.....
 
Back
Top Bottom