Jamani ninafilamu yangu ya ASALI Chachu
Imeibwa katika Mazingira ya kutatanisha Huku ikisambazwa katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, sasa naomba Wadau msaada wenu kuiBlock na kuwakamata watu hao
Jamani we mgeni bongo nini? kuibiwa ni kitu cha kawaida hapa. Na kadiri unapotangaza kuibiwa ndivyo mwizi anapojificha. Kweli inauma lakini hali halisi ndo hivyo. Usilalamike sana chukua hatua kijana. kama vipi ukimpata nistue tumchangamkie.🙂
Ningekusaidia ila nipo mbali. Piga hii namba 0713 274 747 utapata msaada wa ushauri.
Pia unaweza kupiga hapa 0713 775 951 ni ya mhusika wa COSOTA (Copyright Society of Tanzania) ambao ndiyo njia pekee na muafaka kwa sasa. I mean utapaswa kuisajili kazi yako pale na uwaeleze tatizo lililojitokeza ili wachukue hatua kwani wana nguvu za kisheria.....