File liitwalo "btsnoop-hci.log" kwenye simu uhusiana na nini?

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19.

Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb mpaka 300+.

Kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta tena. File lenyewe linaandikwa btsnoop-hci.log kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta mara nyingi linakuwa na mb 80+,120+ hadi 300.

Cc Chief-Mkwawa na wengineo.
 
btsnoop is Androids Blue Tooth sniffer and the hci files are the logfiles.
In developer mode disable Bluetooth HCI snoop log and delete the hci files.
 
Hakutakuwa na madhara au utofauti flani katika device kwa kufanya hivyo.
 
Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19.

Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb mpaka 300+
Kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta tena. File lenyewe linaandikwa btsnoop-hci.log kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta mara nyingi linakuwa na mb 80+,120+ hadi 300.

Cc Chief-Mkwawa na wengineo.
Umekuwa hacked tayari...!!
 
Hakutakuwa na madhara au utofauti flani katika device kwa kufanya hivyo.
hapana hiyo ina maana kwenye device yako ume allow logging ya data za bluetooth transmission unazozifanya kwenye simu...
mfano maybe juzi ulimtumia mtu music kwa bluetooth,then hiyo data ina jisave kuwa ulituma music....
au kuna application uli hiruhusu ku capture bluetooth packet
 
Inshu za blueetooth hizo mkuu! Hakuna tatizo.
 
Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19.

Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb mpaka 300+
Kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta tena. File lenyewe linaandikwa btsnoop-hci.log kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta mara nyingi linakuwa na mb 80+,120+ hadi 300.

Cc Chief-Mkwawa na wengineo.
Mkuu log ni record ya events zinazotokea kwenye software fulani. Ila ni suspicious sana kwa log file kuwa kubwa hivyo maana mara nyingi log file ni text based, na text kufika mb 300 hata Msahafu ama Biblia sio mkubwa hivyo.

Kuna option ya kuweka on ama Off ya hilo file ipo kwenye developer setting jaribu kuiweka off uone kama litaondoka
 
Pako off mkuu
Screenshot_20200402-193622.jpg

Sent using Tapatalk
 
Inachukua muda gani hilo file kufika 300MB? Jaribu kulifungua likiwa na MB chache lazima utaona application ambayo inaliandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom