Umekuwa hacked tayari...!!Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19.
Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb mpaka 300+
Kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta tena. File lenyewe linaandikwa btsnoop-hci.log kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta mara nyingi linakuwa na mb 80+,120+ hadi 300.
Cc Chief-Mkwawa na wengineo.
hapana hiyo ina maana kwenye device yako ume allow logging ya data za bluetooth transmission unazozifanya kwenye simu...Hakutakuwa na madhara au utofauti flani katika device kwa kufanya hivyo.
Mkuu log ni record ya events zinazotokea kwenye software fulani. Ila ni suspicious sana kwa log file kuwa kubwa hivyo maana mara nyingi log file ni text based, na text kufika mb 300 hata Msahafu ama Biblia sio mkubwa hivyo.Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19.
Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb mpaka 300+
Kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta tena. File lenyewe linaandikwa btsnoop-hci.log kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta mara nyingi linakuwa na mb 80+,120+ hadi 300.
Cc Chief-Mkwawa na wengineo.
Pako off mkuuMkuu log ni record ya events zinazotokea kwenye software fulani. Ila ni suspicious sana kwa log file kuwa kubwa hivyo maana mara nyingi log file ni text based, na text kufika mb 300 hata Msahafu ama Biblia sio mkubwa hivyo.
Kuna option ya kuweka on ama Off ya hilo file ipo kwenye developer setting jaribu kuiweka off uone kama litaondoka
Analyze hilo file uone activities zake!
Kama ipo off jaribu kulifuta sasa, likirudi tena kutakuwa na tatizo jengine mahala pengine