Mkuu hapa umepotea njia,hili ni jukwaa la siasa kwenye upande wa katiba mpya.Watu watasoma na kuendelea na shughuli zao.Jaribu kule jukwaa la Advice au Chit-Chat.Kwa kuwa wewe ni Senior member nilitegemea ungekua unajua hili.Wapo wataalam pia kule kwenye jukwaa la Enjoy This.
Hope nimekusaidia.