Filimbi za matundu 8 zimepotelea wapi?

Kuna playback siku hizi Vijana hawavumbui wala kujihangaisha kuvijua vipaji vyao.
 
Hii ni hatari mno. Kwa kweli enzi zetu karibu kila mwanafunzi alikuwa anajua kupiga filimbi
Mimi nilijua kupiga ngoma shule ya msingi.Watoto wetu wanakaa kwenye sofa na kuangalia miziki tu.Hawajishughulishi kwa lolote.Ooh..Lord,have mercy!
 
Tuliziita zumari
 

Wamachinga wanauza za plastic lakini wengi huwauzia watoto kama toys...

Zile za kitambo zilizoundwa kwa bati jepesi, binafsi sijawahi ziona miaka na miaka...
 
Wamachinga wanauza za plastic lakini wengi huwauzia watoto kama toys...

Zile za kitambo zilizoundwa kwa bati jepesi, binafsi sijawahi ziona miaka na miaka...
Kuna zile za mbao/miti pori zilikuwa nzuri sana.Mgambo wa hapa kijijini kwetu anayo ile ya ulinzi ya mbao anaiweka kwenye shati lake kifuani.Anatembea kwa kujidai sana huyu muheshimiwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna zile za mbao/miti pori zilikuwa nzuri sana.Mgambo wa hapa kijijini kwetu anayo ile ya ulinzi ya mbao anaiweka kwenye shati lake kifuani.Anatembea kwa kujidai sana huyu muheshimiwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
... na za bati pia zipo; hao jamaa (mgambo na sungusungu) wakizining'iniza shingoni wanajihisi ni alfa na omega! Halafu ni kama kanuni fulani hivi mifukoni lazima wawe na kadi fulani iliyochoka mbaya! Ha ha ha! Mkongwe johnthebaptist anajua sana hizo mambo.
 
Huyo atatudanganya eti "mzee Mgaya kashauri"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…