Filimbi za matundu 8 zimepotelea wapi?

Vitabu kama hivyo sijui hata kama vipo mashuleni siku hizi!
 
Vitabu kama hivyo sijui hata kama vipo mashuleni siku hizi!
 
Mchina ametoa za plastic.
Ninaziuza dukani kwangu.
Mikoani natuma.
Unataka ngapi?
Bei 1 ni 1k TSHS
 

Hizo wanaongelea zile tulitumia kupiga kukiwa na tukio au wakiwa wanapandisha na kushusha bendera ya Taifa.

Hizi za ala nyingi zilikua za bati, siku hizi wanaleta za plastic.

Vitu kama hivyo licha ya kuwa burudani vilichangamsha ubongo na kuongeza ubunifu. Ilihitaji kujifunza kuipuliza vizuri na kupangilia vidole ipasavyo ili zitoe mlio unaotakiwa.
 
... kabisa! Leo madogo kutwa kushinda Insta na FB hawajui kingine. TEHAMA kwa upande mwingine imeleta majanga hasa kwa vinchi kama vya kwetu. Vijana hawashugulishi brains to the maximum kilichobaki ni kuchat upumbavu tu huko whatsap na sms.
 
Shule Za Msingi Zilikuwa Zinatumika Kwenye Bendi Hasa Wakati Wa Asubuhi Kwenye Ukaguzi
 
Mi ni nayo ilitengenezwa na kampuni ya YAMAHA. Iko poa saana
 
Zinapiga key moja tu na ukilazimisha key nyingine octave haifiki
 
Hawa wajukuu hawataweza kuzipuliza
... madogo wenyewe hawa mlo wao kiepe yai la broiler kwa sana na fanta chupa zenyewe mnazichezea siku hizi? Toto la kiume linashindana wowowo na manyonyo na dada zake? Bure kabisa!
 
Zipo ila kwa uchache sana.
 
Mchina ametoa za plastic.
Ninaziuza dukani kwangu.
Mikoani natuma.
Unataka ngapi?
Bei 1 ni 1k TSHS
Ngoja niangalie hapa Arusha Kuna mahali nimeelekezwa nikikosa nitakutafuta. Niachie mawasiliano pm.
 
... madogo wenyewe hawa mlo wao kiepe yai la broiler kwa sana na fanta chupa zenyewe mnazichezea siku hizi? Toto la kiume linashindana wowowo na manyonyo na dada zake? Bure kabisa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu mi nilikuwa fa'la sana ujue!

Eti ndo nilikuwa mkali wa kupiga filimbi, dah!!!

Sema hapo juu nimesoma kuhusu filimbi za miti... dah, hizo sikuwahi kuziona aisee!! Sasa ile hollow walikuwa wanafanya fanya vp kwa mfano kuitengeneza?!
Ukijujua kupiga filimbi saxophone haikusumbui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…