habar zenu wana Jf
polen kwa majukumu,mimi tatizo langu ni miwasho sehemu za siri, tena tatizo hili ni la muda mrefu(miaka miwili sasa),baada ya kumuona daktari na kufanyiwa vipimo nmegundurika nina ugonjwa huo.lakini matibabu sikuwahi kupata..Naomben msaada wenu juu ya tatizo hili maana linanisumbua sana