Final verse ya jk

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
...kuanzia kesho atakua anapokea taarifa za wizi wao dhidi ya kura halali za wananchi na kwasababu yeye ni mtu wa mipasho atakua ameandaa ka-verse kama haka kafuatako na atakua akiimba kwa mluzi " ya nini malumbano, ya nini maneno, najiweka pembeni, naepusha msongamano, naenda aaa, naenda, hata kama mwanzoni niliwadanganya... halafu atazikumbuka sana nyimbo za Mpoto hasa ADELA kua yale makofi yaliaamnisha nini???
 
Nyingine ni SLAA sasa yupo ikulu anamwimbia JK; Mbona wanitazana kisha waanza kulia, kama nimekukosea naomba unisamehe, HALAFU JAAKAYA anajibu, hapa hujanikosea ninalia kwa uchungu, mabango niliyoweka na bado umenishinda.....
 
Nyingine ni SLAA sasa yupo ikulu anamwimbia JK; Mbona wanitazama kisha waanza kulia, kama nimekukosea naomba unisamehe, HALAFU JAAKAYA anajibu, hapana hujanikosea ninalia kwa uchungu, mabango niliyoweka na bado umenishinda.....
 
Hizi ndizo pipoz pawa zinazo sukuma ndinga za slaa mbeya
 
walai walai,ngoja nipunguze stress kweli mahali hapa
 
Nipigie Slaa, nipigie Nakupigia, mpenzi wangu nakupigia
 
salamu zako mjomba....walitupima viatu five years past,, tumewaweza bravo SLAA
 
Nyingine ni SLAA sasa yupo ikulu anamwimbia JK; Mbona wanitazana kisha waanza kulia, kama nimekukosea naomba unisamehe, HALAFU JAAKAYA anajibu, hapa hujanikosea ninalia kwa uchungu, mabango niliyoweka na bado umenishinda.....


hahahahahahahahahaha this is so funny... i cant stop laughing lol :yo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…