Final ya klabu bingwa africa

mart66

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
610
Reaction score
691
Kwa kitu kilichotokea kwenye fainal hi Africa bado Sana kufikia mafanikio Kam ya Tim za ulay ,, fainal Hain mvuto mechi imejawa na vurugu mechi Kam ndondo cup vurugu tupu
 
Me kwangu refa ndio chanzo kakataa goli Zuli,na VAR hataki kutumia.
 
VAR ilikuwa inafanya kazi lakini refarii alikataa kuitumia japo alishauriwa sana kutumia VAR kuondoa huo utata!!!! Inaelekea hakuna sheria inayomlazimisha refarii kutumia VAR. Huyu ni refa wa ajabu! Hata CAF mpaka sasa wameshindwa kuandika habari yoyote kwenye mtandao wao kuhusiana na mechi hiyo! Ni aibu!
 
Africa sijui tuna tatzo gani,final day et VAR imeharbka mechi ya kwanza VAR ilikwa nzima inapiga kaz,then huu mfumo wa finali kuchezwa mara mbili haufai hata kidogo n mazingira ya rushwa tu hapa yanaandaliwa,final ipigwe mara moja tu and not home and away tena ipigwe kwenye natural ground kabisa kama UEFA wanavyofanya,kwa mambo haya tukiitwa ulimwengu wa kumi n sawa tu.
 
Hakika umenena vema mkuu
 
Ulitaka kumaanisha neutral ground ndiyo maana mkubwa wetu hataki hii lugha
 
Bora kabisaa kuwe na fainal moj bas
 
Ulitaka kumaanisha neutral ground ndiyo maana mkubwa wetu hataki hii lugha
Tusaidie iyo "neutral venue" kwa kiswahili inaitwaje? Ili asirudie kusema "natural ground"

Mimi nimeshindwa kutaja jina kwa lugha yetu pendwa ila kutoa maelezo naweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…