final year project (civi engineering)

Menapitatu

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
195
Reaction score
86
Wadau mm n mwanafunz wa mwaka wa pili chuo cha civil engineer sasa kuna inshu ya TITTlE kuhusu project kwa level ya Diploma naweza kufanya project gan.?? Unaweza nipa idea au ukadondosha number yako ya cm me nikakupigia tukawacliana...... Kwa sasa nipo Dar
 
Wewe Kama mhandisi mtarajiwa unapotafuta title tafuta kitu ambicho ni rahisi ww kufanya mfano kwenye masomo ulionayo nilipi unapenda zaidi alafu tafuta tatizo then unasolve hilotatizo kwenye real situation..
 

Civil Engineering ina idara kadhaa kama Mechanical,Electrical.
Water,Roads,Structural,Bridge , Chemical and Processing nk nk sasa wewe uko idara gani mkuu,
Nitakushauri kama uko kwenye Idara yangu dogo.
Je wewe ni MA au FE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…