kusoma kwa sifa ni kupi? Watu waliosomea ualimu utawajua tu., ipende taaluma yako na wala utawaona wengine kwamba wanasoma kutaka sifa ambazo huwa hazkwepeki.Huu ndio wakati wa kujua,je ulikuwa sahihi kusoma fani uliyoichagua?Sheria,uchumi, ualimu n.k.Kama ulikuwa ukisoma kwa SIFA tu,habari ndo hiyo.Chagua moja,kunyoa AU kusuka!
muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi udsm linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma muhusika. Tuwakaribishe uraiani kupigana na maisha! Enzi za kugombana na bodi ya mikopo sasa imefikia tamati, mikopo itapatikana saccos na kwenye mabenki kwa dhamana maalum. Tumieni elimu yenu kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine. Kila la heri!
karibuni mjitafutie...muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi udsm linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma muhusika. Tuwakaribishe uraiani kupigana na maisha! Enzi za kugombana na bodi ya mikopo sasa imefikia tamati, mikopo itapatikana saccos na kwenye mabenki kwa dhamana maalum. Tumieni elimu yenu kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine. Kila la heri!
Huu ndio wakati wa kujua,je ulikuwa sahihi kusoma fani uliyoichagua?Sheria,uchumi, ualimu n.k.Kama ulikuwa ukisoma kwa SIFA tu,habari ndo hiyo.Chagua moja,kunyoa AU kusuka!
wa2 mliosoma degree za ualimu mnajulikana 2!Huu ndio wakati wa kujua,je ulikuwa sahihi kusoma fani uliyoichagua?Sheria,uchumi, ualimu n.k.Kama ulikuwa ukisoma kwa SIFA tu,habari ndo hiyo.Chagua moja,kunyoa AU kusuka!
Muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi UDSM linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma muhusika. Tuwakaribishe uraiani kupigana na maisha! Enzi za kugombana na Bodi ya mikopo sasa imefikia tamati, mikopo itapatikana SACCOs na kwenye mabenki kwa dhamana maalum. Tumieni elimu yenu kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine. Kila la heri!
habari yako mwalimu.Huu ndio wakati wa kujua,je ulikuwa sahihi kusoma fani uliyoichagua?Sheria,uchumi, ualimu n.k.Kama ulikuwa ukisoma kwa SIFA tu,habari ndo hiyo.Chagua moja,kunyoa AU kusuka!
ndugu mwalimu chonde usiende kuchakachua wadogo zetu, kwanini hujiamini? Kwa upande sikufanya makosa hata kidogo kusoma nilichokisomea.Narudia tena;kifuatacho ni kusuka au kunyoa.Nani ambaye hathamini fani yake?Kama huna la maana,nyamaza.