Finally, EA nations agree to disagree on federation

Muungano
Muungano wetu unaendelea kwa sasa ulipofikia unatosha .
Kuhusu kuungana Eac ni ngumu kwa kuwa kuna watu wanapenda shida zao kuhamisha kwa wengine.
Dhamira ya dhat hakuna
Maxhungu ya mali za jumuia ilokufa
Ongezea zako
Muungano Wa tz na the calling of the willing hauwezi kufananishwa na muungano wa tz na znz kwa mazingira ya sasa.japo yote ni muungano
 

Unamwabia MK254 Hong Kong unafikiri anajuwa hata Hong Kong ipo wapi. Hapo nyuma ya nyumba yake Kenya haujui leo itakuwa Hong Kong [emoji1] [emoji1] [emoji1]


Sasa, haya ya Zanzibar ndio yanafanya EAC kukwama? au mnatafuta sababu tuu. Wazanzibari wenyewe hawajasema lolote, waswahili mnajua na mishale mnatumbuwa tuu. Kuna wanao penda kukumbatia vyote vitamu vya EAC, na ndani hao wanakwamisha EAC. Naamini unawajuwa.
 
Big picture guy. [emoji122] [emoji122]
 
Zanzibar is one of the reason they don't want to touch their Katiba. We have voted twice for a constitution, TZ don't want to touch theirs after all that mchakato.

EAC is very toothless to handle and enforce trade. Something radical probably deliberate needs to be done. To move in EA you need visas, some are $100 plus many other restrictions, that is very limiting to trade. Further intergration will put an end to this.
 
PF being a Museveni's baby is a common misconception, PF idea predates Museveni, it is the idea of the people. With a big PF government when it comes to defense and justice no one would want to mess the way S.Sudan and Burundi are messing up.
It was actually Nyerere's baby
 
The political federation of East Africa is a MUST .....hilo halina mjadala.
We should be discussing what arrangement suits us best......
 
vipi kuhusu "pwani si kenya"?
 
vipi kuhusu "pwani si kenya"?

Inabidi kwenda nao vivyo hivyo maana kama lazima Sultan wa Ugunja apewe maeneo yake basi itakua shughuli, maana tutaanzia kumpa Pwani ya Somalia, tumpe Lamu, Mombasa, Tanga, Dar es Salaam, kwenda hadi Mtwara na visiwa vyote vya Zanzibar.
Kifupi Tanganyika na Kenya hazitakua na bahari kama itabidi tumpe Sultan 'ardhi' yake. Japo swali litaibuka kwamba kabla huyo mwarabu kuja Afrika, ina maana hakuwakuta wenyeweji.
 
Unaruka swali, sijui labda unafanya makusudi. Unaporusha madongo ya Zanzibar ukumbuke wenye pwani yao na wao wanauliza huko Kenya (Mombasa Republic Council = Pwani si Kenya) Hili ni swala bado linafukuta, je na sisi tulize kama hayo yanayodaiwa na watu wa Pwani yata athiri muungano wa EA? Au maneno ya Professor Ndii yana maana.... "Kenya is a cruel marriage it's time we talk divorce".

www.nation.co.ke/oped/Opinion/Kenya-is-a-cruel-marriage--it-s-time-we-talk-divorce/440808-3134132-view-asAMP-4e69g6/index.html
 

Wapi nimeruka swali, kauli za kwamba Pwani sio Kenya hutokana na historia kwamba Pwani yote kuanzia Somalia hadi Mtwara Tanzania vyote vilikua vya Mwarabu Sultan.
 
Wapi nimeruka swali, kauli za kwamba Pwani sio Kenya hutokana na historia kwamba Pwani yote kuanzia Somalia hadi Mtwara Tanzania vyote vilikua vya Mwarabu Sultan.
Tanganyika haijawahi kuwa chini ya sultani, kwahiyo ukisema Tanzania inahusika na msemo huo, utakuwa una unakosea. Mombasa Republican Council wanautumia sana msemo wa Pwani si kenya. Na kwanini waseme jina la Kenya kama wanazungumzia ukanda wote wa Afrika Mashariki? Ndio maana nikauambia unaruka swali, muuliza swali aliuliza kutu kinacho husu Kenya sio ya Afrika Mashariki.
 

Wacha kudandia treni kwa mbele bila kujua inaenda wapi. Kasome historia ya Afrika Mashariki, haya yote unayoyaona ujue kwanza yametokea wapi.

Hao wanaosema Pwani sio Kenya, jifunze yanaibukia wapi, ni kweli tukifuata ramani ya hapo awali kihistoria utakuta ukanda wote wa Pwani za hizi nchi zote ni mali ya sultan wa Zanzibar, hadi mto wa Ruvuma kule kwenye mpaka wenu na Msumbiji. Japo yalipigwa chini na kuzimwa maana mijadala ya hivyo hairuhusiwei leo, ni kama tu vile hatuongei tena mambo ya mlima uliokua wetu wa Kilimanjaro.

Ni kwamba wewe binafsi hujawaskia Wazanzibar, lakini wapo wengi wanaoujua huu ukweli na wanahoji japo kimya kimya, kuna hata Wazanzibari humu JF hupenda kuibua haya mambo akiwemo huyu jamaa Baraghash
Fuata huku Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

Na pia soma hii
How Kenya got The Ten-Mile Coastal Strip - Owaahh
 
Swali, kwanini jina la Kenya linahusishwa na pwani. Usipanue swala, hii ni shida ya kenya na wanapwani wa Kenya. Usiwaongele wengine kuwajumuisha kwenye shida ya kenya. Professor Ndii ameandika vizuri na inaeleweka kwamba bora Kenya wajikate kama ilivyo kuwa kabla ya mkoloni kupunguza uhasama. Kubadilisha katiba na kuweka majimbo haija zaa matunda yoyote. Chuki na uhasama na ukabila bado upo pale pale, badala ya kuishia kwenye doa kubwa ya Afrika Mashariki, angalia nyumba yako kama nyufa zote zimezibwa.
 

Huko unakwenda sikujui na sikufuati. Cha msingi ulileta mambo ya kwamba Pwani sio Kenya nikakupa historia ya wapi yanakotoka hayo yote, chimbuko lake ambalo ni kweli Pwani hizi hazikua zetu tangu awali.
Kaa na Wanzazibari wakupe darasa.

Haya Kwaheri kwa sababu umegoma kupata elimu ya bure.
 
Yani mimi nawacheka pale wakenya mnapo jaribu kuruka ruka na kuficha ukweli. Na ndio yao tunajibishana humu JF kula siku. Aliye kuuliza swali alikuwa na nia hiyo hiyo kuhusu Mombasa, na ndio kuko kila siku wanadai eneo lao. Leo hii unaleta ya Zanzibar, mara ya sultani, mara ya mto Ruvuma....vipi? hatana mimi naona akili zinapotea, unachanganyikiwa. Waingereza wanasemaga "ducking the question", haya ukweli wa Pwani Si Kenya utajulikana tuu siku moja.
 
Leta uzi wako mpya ujadili utengamano wa Kenya kivyake na hii mada ya pwani si Kenya and Kenya is a cruel marriage tukutane huko sio kunyakua uzi wenye mada tofauti.
 
Kwanza MAGUFULI naomba upitishe uhakiki wa HATI za Ardhi na uhalali wa Urai wa wamiliki.

Mwanza, na Mara Wakenya wengi sn wanamiliki Ardhi.
Wanyang'anywe waende kwao.
 
Leta uzi wako mpya ujadili utengamano wa Kenya kivyake na hii mada ya pwani si Kenya and Kenya is a cruel marriage tukutane huko sio kunyakua uzi wenye mada tofauti.
Hayo maneno yapeleke kwa alieuliza swali la Pwani Si Kenya. Rudi nyuma kwenye uzi utamjua. Funny enough kwanini mpaka Uzi mpya ndio uweze kujadili failing marriage ya Kenya? Wakenya tunawajuwa mna so many rabbits under your hat. Hamkawi kukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…