Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
your page title is useless doesn't explain what the page is about
contrast in color, text is soooooo bad (hiyo ni bendera ya wapi? TZ? na hilo neno international news btn page title and vibendera ni mfano mzuri
hivyo vipicha viwili hapo mbele is meaningless/unnecessary graphics
your color combinations of text and background make the text hard to read
down for maintenance forever mazee is boring
tumia lugha moja sio kuchanganya
mwisho nakushauri go back and read good web design features itakusaidia sana hata kama wewe sio pro wa haya mambo
Koba, wewe hutaki website ifanikiwe, wewe unataka uone website ambayo unaweza kuona makosa na kuonesha jinsi gani "mwanakijiji amevurunda". I promise you, you are underestimating me kama wengine walivyofanya and they paid for it! In about two hours site itakuwa hewani, na nikuhakikishie sifanyi yote mimi mwenyewe na tumetumia kiasi kikubwa cha fedha kuitengeneza neno ubahili haliko kwenye kamusi zangu. Ila nitashukuru katika nia yako ya kuifanya iwe world class ukichangia kidogo nenda kwenye http://www.mwanakijiji.podomatic.com kuna link ya paypal ambapo wenzako wanaotakia mafanikio wamesaidia. Nakushauri uache ubahili.
Lah haula, afadhali sasa kondoo karudi kundini... ila tuwe makini asije kuwa 'chui'!
....kumbe kuna makundi humu,sikujua hilo,anyway kukosoa sio vibaya as long as una pinpoint tatizo liko wapi na mara nyingi unaweza kuona kama uko humiliated kama hujazoea,anyway message delivered hope atafanyia kazi
Mkuu,..ha haha haha naona mwanakijiji umejipatia support hapo,good for u kama itakusaidia kufanya web yako iwe nzuri sio maneno matamu tuu,na wewe Nzoka unayemwita mswahili hapendi maendeleo ni nani? ndio nyie mliomfukuza Zitto bungeni mlivyopewa ukweli mkaishiwa kuzomewa....waswahili ni waswahili tuu wanataka kusifiwa kila kitu hata kama uwongo!