Finally! Lulu and Joti get married

Young Dar keshapigwa chini au ?
 
wamependeza sana na kuendana.
 
Kalulu kifaa ndio maana mzee wa tumbo kubwa alimzimia kichizi
 
Tukicross genes hapo tutaanza kuileta nchi ya Congo kule magharibi hapa bongo...Piga vita mbilikimo...ni janga la Congo
 
Aisee hizo mbegu fupi watazaa vigoda

wabongo kwa matumizi mabaya ya asilimali basi !hawa ikitokea wakaoana kweli wanaweza pia nao wakatengeneza kitanda 6 kwa 6 wakati kitanda 3 kwa 3 kinawatosha
 
Akatangazwe wapi,wakati ndo ushamtngaza ivo.hii ipo kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…