Finally nimekua spinster!

Duh hiyo itakuwa ngumu boss maana alikotoka alikuwa anachezea daily, mimi kama dalali uwezo wangu wa kukuunganisha naye umeishia hapo. Labda ngoja nimuulize yeye mwenyewe. Eti Anastasia21 utaweza?
Ah bc kama yeye n mzoefu na mpaka kupitiliza bc huyo hanifai, mm namtaka wa kufanana nae
 
Mbobezii🀣🀣🀣
Kuna vidume zaidi ya bilioni duniani, unakubali vipi kukaa kizembe? Japo najua kuwa single haimaanishi mahitaji muhimu hupatiπŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna vidume zaidi ya bilioni duniani, unakubali vipi kukaa kizembe? Japo najua kuwa single haimaanishi mahitaji muhimu hupatiπŸ˜…πŸ˜…
🀣🀣🀣umetoa majibu mwenyewe.
 
Kuna namna mjukuu anataka kukusaidia kushika kiko yako mzee mwenzangu.πŸ˜…πŸ˜…
Itakuwa vyema sana Mzee mwenzangu.

Maana nina miezi lukuki sijatembelewa na Mjukuu hata mmoja 😜

Na huyo Mjukuu ningempatia zawadi ya Lita 3 ya asali aende akajilie akirudi Mjini πŸ€—
 
Itakuwa vyema sana Mzee mwenzangu.

Maana nina miezi lukuki sijatembelewa na Mjukuu hata mmoja 😜

Na huyo Mjukuu ningempatia zawadi ya Lita 3 ya asali aende akajilie akirudi Mjini πŸ€—
Hahahahaha, mzee mwenzangu uko vizuri!!! Au nimuite mjukuu Aaliyyah aje kula asaliπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahahahaha, mzee mwenzangu uko vizuri!!! Au nimuite mjukuu Aaliyyah aje kula asaliπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hahaha............huyo Mjukuu tangu aende Kwa Trump Mwaka Juzi hajarudi tena Bongo kunisalimia Babu yake

Na nilivyomkumbuka Mjukuu wangu, nitamwandalia Lita 5 za asali aje alambe hadi achoke πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…