Finally Ommy dimpoz amerudi tena kwenye Game ya muziki

Finally Ommy dimpoz amerudi tena kwenye Game ya muziki

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,381
Msanii ommy dimpoz baada ya kuwa katika kipindi kigumu sana kwa kufanyiwa operation kwenye oesophagus kwa Mara tatu mfululizo now amerudi kwenye game rasmi.

Amerudi na wimbo unaokwenda kwa jina la "ni wewe" ikiwa kama shukrani kwa mungu kumpigania mpaka Leo hii!

Hii ni habari njema kwa watanzania, kings music na rockstar na wapenda mziki mzuri kwa ujumla

YouTube: ommy dimpoz - Ni wewe.

Welcome back omary nyembo kwenye game again!.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko Efm sasa ivi anahojiwa yaliyomkuta ...

Karibu tena ommy ila edit za picha tuachie dada zako
 
Vijana wengi tunajisahau sana tunaona hakuna lakututisha tunajua kila kitu, tunaweza kufanya lolote na mahala popote tunamsahau Mungu kabisaaaaa!

Ndugu yetu Ommy dimpozi alishajisahau mno starehe/anasa kama zote kashikwa koo kidogo tu kaufahamu ukuu wake ewe kijana mwenzangu shituka Devil is at work tena anajeshi kubwa sana hii iwafikie wasanii wote wakike tunaoshinda nao studio nikianza na Lulu diva na amber lulu
 
Back
Top Bottom