Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Msanii ommy dimpoz baada ya kuwa katika kipindi kigumu sana kwa kufanyiwa operation kwenye oesophagus kwa Mara tatu mfululizo now amerudi kwenye game rasmi.
Amerudi na wimbo unaokwenda kwa jina la "ni wewe" ikiwa kama shukrani kwa mungu kumpigania mpaka Leo hii!
Hii ni habari njema kwa watanzania, kings music na rockstar na wapenda mziki mzuri kwa ujumla
YouTube: ommy dimpoz - Ni wewe.
Welcome back omary nyembo kwenye game again!.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna mahali amemtaja Yesu? Ni wapi pameandikwa neno Yesu?Baada ya kuwashukuru madaktari anamshukuru Yesu, huo ni wizi wa shukrani.
OkNgoma alikua ameirekodi muda tu baada ya kutoka hospital South Africa
Enyi watumishi fanyeni huju......., pogba ana kiburi cha uzima mkuu, kila kitu yeye anajua na ata anaposhindwa kukontrol mpira vzr pale man u inapokuwa inakipiga na timu kubwa akiambiwa tu ni kosa.