Finally Sasa nimeamua Kuoa

Mama yako angekuwa na sifa zote hizi basi asingezaa MBURULA kama wewe. Sifa 30, wewe unazo ngapi?

sifa zako

1). Mburula
2). Unaota wakati hujalala
3). Unapenda vitu usivyoendana navyo.
4). Ndumilakuwili
5. Mwana chama wa chama cha majambazi (CCM)
6. Comedian mwenye mapengo
7. Ibirisi mtu
9. Dege jinga
10. Nyani
11. Mchagua nazi kipofu
12.
 
Huna nia ya kweli ya kuoa wewe!!!! Utaona miaka inayoyoma bila kumpata huyo mke mtarajiwa mwenye sifa zote hizo. Nawe katika hizo sifa 30 ulizozitundika unazo ngapi kati ya hizo!?
 
Mbona mpaka sasa hajajitokeza hata mmoja? haya naendelea kusubiri
 
Nimeamini kweli ni vigumu kupata mchumba JF. Ndio maana watu wanapost alafu wanarudia rudia kubandika matangazo humu wanawake wa kuoa hawapatikani humu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…